Tuelimishane kwa hili

Tuelimishane kwa hili

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,781
Hivi wakuu kuna tofauti gani ya kuoa mwanamke wa kabila lako na ambae si wa kabila lake,na huu msemo wa wazee wetu waliotutangulia wa kusema ni vema uoe kabila lako na familia unayoijua ilikua inamaana nzuri au walikua hawajui au ni mambo ya kizamani..tuelimishane wakuu.....
 
Unaweza pata wa kabila lako kimeo vile vile ...so kila kitu kina risks zake...faida za watu wa mbali ni kujifunza culture zingine pia...muulize Kiranga atakwambia jinsi ilivyo impossible kupinga changes za society zinazoletwa na global village...
 
Last edited by a moderator:
user-offline.png
phojamhone

Yesterday 14:46
#1 Member Array

Join Date : 18th May 2014
Posts : 24
Rep Power : 309
Likes Received3
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Mke wa ndoa akimjibu mumewe hivi baada ya kuulizwa kitu, inaashiria nini?[/h]
Ndugu zanguni wanajamvi, nakuja hapa kwa jambo lililomtokea rafiki yangu live, kwanza natanguliza salamu.

Rafiki yangu kamwoa mwanamke wa kabila tofauti na yeye, mke wake mara nyingi anapenda kwenda nyumbani kwao ambapo ni kwa mama yake mzazi na kwabahati mbaya baba yake alishafariki. Kimsingi ni mke wa ndoa, huyo mwanaume anatoka mkoa wa mbali na huyo mwanamke anatumia ukaribu wa nyumbani kwao kila kukitokea tofauti kidogo anakimbilia nyumbani kwa mama yake na saa nyingine anatabia ya kujaza ndugu zake nyumbani kwao na mme wake.
Juzijuzi kafiwa na ant yake, kaenda kulala msibani wilaya ya mbali na nyumbani kwao bila kumpa taarifa mme wake, huku akiwa amewaacha watoto wenye umri wa miaka 3 na 4.5 na housegirl wa miaka 12. Mume wake yupo safarini kilometer 900 kutoka kwenye huo mkoa ilipo familia. Baada ya kurudi msibani mume kamwuliza: Mbona ulienda kulala msibani bila kunitaarifu? isitoshe watoto ni wadogo uliwaacha na nani?
Mke akamjibu:"Ungetaka hayo ungeoa kabila lako! Kuolewa na wewe siyo kuvua asili yangu au kutoka kwenye familia yangu wala ukoo wangu tambua hilo"
Naomba mwongozo wenu, hii inaashiria nini kwa wale wanaooana makabila tofauti.​
 
Ni bora kuolewa na kabila / asili yako ni vzr sana na moja ya dhambi kubwa ni kwenda kinyume na hili
 
Unaweza pata wa kabila lako kimeo vile vile ...so kila kitu kina risks zake...faida za watu wa mbali ni kujifunza culture zingine pia...muulize Kiranga atakwambia jinsi ilivyo impossible kupinga changes za society zinazoletwa na global village...
sawa The boss lakin kip kina risk zaidi?
 
hivi wakuu kuna tofauti gani ya kuoa mwanamke wa kabila lako na ambae si wa kabila lake,na huu msemo wa wazee
wetu waliotutangulia wa kusema ni vema uoe kabila lako na familia unayoijua ilikua inamaana nzuri au walikua hawajui au
ni mambo ya kizamani..tuelimishane wakuu.....
tofauti= utaonja ladha ya tofauti na kwenu
kauli ya wazee=ni mtazamo wao wa kipindi hicho ambacho muingiliano wa makabila ulikuwa mdogo hivyo nafasi ya kuelewa tabia, mila, desturi za kabila jingine ulikuwa mdogo. na sasa hivi wapo wachaga, wahaya, wamakonde JINA tu, hakuna lolote la kabila lao wanalofatilia au hata kulijua
 
user-offline.png
phojamhone

Yesterday 14:46
#1 Member Array

Join Date : 18th May 2014
Posts : 24
Rep Power : 309
Likes Received3
Likes Given0

icon1.png
Mke wa ndoa akimjibu mumewe hivi baada ya kuulizwa kitu, inaashiria nini?

Ndugu zanguni wanajamvi, nakuja hapa kwa jambo lililomtokea rafiki yangu live, kwanza natanguliza salamu.

Rafiki yangu kamwoa mwanamke wa kabila tofauti na yeye, mke wake mara nyingi anapenda kwenda nyumbani kwao ambapo ni kwa mama yake mzazi na kwabahati mbaya baba yake alishafariki. Kimsingi ni mke wa ndoa, huyo mwanaume anatoka mkoa wa mbali na huyo mwanamke anatumia ukaribu wa nyumbani kwao kila kukitokea tofauti kidogo anakimbilia nyumbani kwa mama yake na saa nyingine anatabia ya kujaza ndugu zake nyumbani kwao na mme wake.
Juzijuzi kafiwa na ant yake, kaenda kulala msibani wilaya ya mbali na nyumbani kwao bila kumpa taarifa mme wake, huku akiwa amewaacha watoto wenye umri wa miaka 3 na 4.5 na housegirl wa miaka 12. Mume wake yupo safarini kilometer 900 kutoka kwenye huo mkoa ilipo familia. Baada ya kurudi msibani mume kamwuliza: Mbona ulienda kulala msibani bila kunitaarifu? isitoshe watoto ni wadogo uliwaacha na nani?
Mke akamjibu:"Ungetaka hayo ungeoa kabila lako! Kuolewa na wewe siyo kuvua asili yangu au kutoka kwenye familia yangu wala ukoo wangu tambua hilo"
Naomba mwongozo wenu, hii inaashiria nini kwa wale wanaooana makabila tofauti.​

kweliiiiiiiii aiseeee
 
tofauti= utaonja ladha ya tofauti na kwenu
kauli ya wazee=ni mtazamo wao wa kipindi hicho ambacho muingiliano wa makabila ulikuwa mdogo hivyo nafasi ya kuelewa tabia, mila, desturi za kabila jingine ulikuwa mdogo. na sasa hivi wapo wachaga, wahaya, wamakonde JINA tu, hakuna lolote la kabila lao wanalofatilia au hata kulijua
duuuu sawa mkuu kwa maoni
 
Hi tinna cute, hoping all is well ooh!!!

Samahani naomba kufahamu zaidi apo nilipopigia mstari, Kwa nini labda iwe hiyo.

All is fine mkuu.
Ntasemea kwa kabila letu na kizazi chetu,,,,,,,
Tuko wachache na tunahitaji kuongezeka so unapoolewa au kuzaa na mtu mwngne huongezi kizazi chako bali kingine!!!!
Ndo maana sie tunapenda kuzaliana wenyewe for the sake of our generation...... ukienda kinyume ukoo unaweza kukutenga
 
Last edited by a moderator:
Alright!!! saweni tu.. nyie tubagueni tu
All is fine mkuu.
Ntasemea kwa kabila letu na kizazi chetu,,,,,,,
Tuko wachache na tunahitaji kuongezeka so unapoolewa au kuzaa na mtu mwngne huongezi kizazi chako bali kingine!!!!
Ndo maana sie tunapenda kuzaliana wenyewe for the sake of our generation...... ukienda kinyume ukoo unaweza kukutenga
 
Mimi binafsi naona ntakuwa comfortable zaid nikimpata wa kabila langu
 
Back
Top Bottom