Tuelimishane kuhusu hili jambo wajameni!

Tuelimishane kuhusu hili jambo wajameni!

Mlasani

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
113
Reaction score
28
Ni kweli eti kwamba vipimo tulivyo navyo mahospitalini vinatofautiana kiuhalisia kama inavosemekana. Kwa mfano inasemekana kuna HIV determiner yenyewe inadetect HIV after two weeks; kuna nyingine inachukua 3 moths na kuna bab kubwa APR.... kama sikukosea yenyewe hata baada ya siku moja au masaa kadhaa inakuonesha matokeo. Natumaini JF kuna madoctor pia inapendeza watujuze na sie tufahamu hili suala zima la HIV test! Nice moment to you all brothers and sisters!

NB: Kumbuka kinachoulizwa ni muda ambao HIV inaweza kuwa detected after the infections!
 
Swali zuri sana. Ninadhan you are at risk thats why unataka upate uhakika hasa wa upatikanaji wa hicho kipimo kizuri kuliko vyote. Anyway, wanakuja wahusika na madokta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom