TUELEZEE KUHUSU RAFIKI YAKO MUHUNI KUZIDI WOTE

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Ngoja nianze mimi, Kuna jamaa alikuwa mtundu na muhuni sana enzi za sekondari, navosema mhuni ni mhuni kweli kweli, Jamaa alikuwa haoni soo wala aibu yoyote kutupa
pindi la kupiga nyeto, yani mkikusanyika kwake haoni shida kabisa ukijaza kiganja chake mafuta ya mgando ili aanze shughuli mbele yenu, Mnaweza mkadhani mwenzenu kwanini haamkagi weekend
kumbe kalewa chakari viroba hio ni from friday night to monday, Form three tunaingia jamaa akaanza kupiga ganja kitendo kilichomfanya awe mwalimu wa hii kitu kwa baadhi ya wanafunzi, Huyo kwangu

Tunaomba utuambie na wewe ni rafiki yako mhuni ambaye hutakuja kumsahau
 
rafiki yangu shoga angu mmoja hivi alikuwa Bonge moja la doja shuleni. Haudhurii vipindi darasa,waalimu wakienda bwenini kukagua anapanda kwenye kenchi,siku moja akateleza akakanyaga silling board aliporomoka nalo akafikia kutua mbele ya mwalimu..

Rafiki yangu mwingine alikuwa bingwa wa kutembea na waalimu wa kiume wanaokuja either filed au waalimu wanaohamia pale. Since we tulikuwa tunasoma in girls school, and she is hot tottie aisee alikuwa anagegedwa na haoni aibu anaadhithia ticha Fulani,kibamia yule hana lolote anajitutumua assemble tu pale,simtaki tena Hata kumsikia. Au utasikia Yaani vile alivyo mpole ni analo la kumridhisha mwanamke yeyeto,afadhali awe mpole anitie peke yangu. Ashawashi sababisha waalimu wa field walipigana staff room kwa sababu yake halafu akawakana kama hawajui,akasema wanamtongoza tena kwa nguvu. Mkuu wa shule akwatimua wale majamaa walikuwa wanatoka chuo cha mkwawa. Tukawa tunamuita roza mistika
 
Kuna rafiki yangu flani huyo chuoni anagegeda watoto wa kike kama pipi,
Sijui anatumia dawa gani akitongoza dem hachomoi na anagongwa mahali popote atakapoona hakuna watu au haonekani..
Wake za watu ndo balaa
Na hawezagi kutumia condom.
Tuzidi kumwombea hilo pepo lomtoke
 
daaah..nilikuwa na mshika ji wangu NDANDA sec...ugomvi kwake kama kula tukienda disco ukimkanyaga bahati mbaya konde....madem sasa?...kila wiki anatibu gono
 
Kuna rafiki yangu flani huyo chuoni anagegeda watoto wa kike kama pipi,
Sijui anatumia dawa gani akitongoza dem hachomoi na anagongwa mahali popote atakapoona hakuna watu au haonekani..
Wake za watu ndo balaa
Na hawezagi kutumia condom.
Tuzidi kumwombea hilo pepo lomtoke
Mkuu maombi yatakuwa na nguvu ya Upako kama utatupia japo kina LA chuo
 
Aah aisee nilikuwa na rafiki yangu mmoja alikuwa mvuta bangi balaa, alikuwa hana habari kukaa darasani..yeye ni chaka kwa chaka na msuli alikuwa anapigia hukohuko porini...Alikuwa akionekana saa ya msosi tu..akishamaliza anasepa zake pori...Mwisho wa siku sikuamini alikuja kutusua na kwenda chuo, bahati nzuri alibadilika akawa raia mwema
 
Kama alikua anapiga msuli ulikua unategemea asitusue
 
Kuna mshikali alikuwa anamaliza kindoo cha uji lita 10 peke yake na maandazi 8 kila asubuhi......Sasa akiwa ndo anakunywa fanya kumuomba ndo utajua....Hiyo ilikuwa secondary
 
Back
Top Bottom