Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili.
Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.
View attachment 2961611