kandambili2
Member
- Aug 20, 2010
- 67
- 21
Kwani kugoma ni suluhu? Mtoto wako akisusa kula chakula kwa sababu aliomba umnunulie nguo mpya na wewe hukuwa na fedha na ukamwambiaa, nikipata nitakununulia utafanya nini? Au akuta mama nyumbani amepika ugali na dagaa, Yeye akasema mimi nataka kula pilau kuku wakati kwa wakati huo wewe huwezi kufanya hivyo utafanyaje/Kama haya maneno yamechapwa vyema Mkuu alisema hivi kuhusu plasta:
"Sasa hata hatujazungumza wameanza kutangaza mgomo, sasa afadhali tuzungumze kwanza maana mgomo una kasheshe zake, mkigoma hamtaachwa, askari watawapiga virungu na hata wengine kuweza kupoteza maisha, mimi naweza kuwa rahim lakini polisi mkiwafanyia fujo watawatwanga na hata mkigoma baadaye mtarudi kwenye mazungumzo mkiwa na plasta midomoni"
Nimekuwa najiuliza alimaanisha wakirudi watakuwa wamenyamazishwa au?
Akizugumza na gazeti hili leo asubuhi Katibu wa shirikisho hilo Nicholaus Mgaya amesema kuwa hivi sasa hawatatoa maoni yoyote zaidi ya kumwacha aendelee na kampeni zake.
"Siwezi kutoa maoni yoyote kuhusiana na kauli za kampeni alizozitoa Rais Kikwete na kwamba tumuache aendelee na kampeni zake nasi tunasubiri kupiga kura Oktoba 31, mwaka huu, " amesema katibu huyo.
Mgaya alikuwa anatikisa kibiriti.Amekuta kimejaa.na hivyo ndivyo watanzania tunahitaji kiongozi asiyeyumbishwa hovyo kwa kisingizio cha kura.kwa taarifa yako wafanyakazi wanamkubali bwana mkubwa.kwani wana imani nae wana uhakika anawajali na anawafikiria kila mwaka.yana mwisho hayo.Kauli hii ya TUCTA ndiyo niliyokuwa naisubiri wamwache tu aendelee kujikaanga mwenyewe kwa vile najua hatakuwa na majibu ya kuwaridhisha wafanyakazi, watakuwa waasitchekea tu kila apitapo. Watu wanadhani watanzania ni wajinga lakini si kiasi hicho, na mjinga akishaelimika humzidi hata mwalimu wake.
Mgaya umenifurahisha sana. ULISHASEMA mtu hataki pilau letu tumpe anaetaka!!! Si akili za kuambiwa tukichanganya na za kwetu tunawapata CHADEMA?
Wewe acha kuwadhalilisha wafanyakazi. Hawana akili za kimbayuwayu kiasi hicho. Kwanza wewe ni msemaji wao? Mgaya ndiye waliyemchagua kuwa msemaji wao naye hajatamka hayo,wewe umeyatoa wapi? Kama unamsemea mtumishi wako wa ndani basi weka wazi sio kuwasemea ambao hawajakutuma. Kwetu huo unaitwa Ushambenga.Mgaya alikuwa anatikisa kibiriti.Amekuta kimejaa.na hivyo ndivyo watanzania tunahitaji kiongozi asiyeyumbishwa hovyo kwa kisingizio cha kura.kwa taarifa yako wafanyakazi wanamkubali bwana mkubwa.kwani wana imani nae wana uhakika anawajali na anawafikiria kila mwaka.yana mwisho hayo.
. Kwanza wewe ni msemaji wao? Mgaya ndiye waliyemchagua kuwa msemaji wao naye hajatamka hayo.[/B][/I]
Ni kiberiti cha nani kimejaa cha Mgaya au cha rais, Mgaya hana polisi hana bodyguard hana jukwaa la siasa kajikalia nyumbani anaangalia zake TV, Kikwete ana kila kitu ndiye anayepiga kelele majukwaani nani mshindi hapo, in whatever the case Mgaya has nothing to lose.Mgaya alikuwa anatikisa kibiriti.Amekuta kimejaa.na hivyo ndivyo watanzania tunahitaji kiongozi asiyeyumbishwa hovyo kwa kisingizio cha kura.kwa taarifa yako wafanyakazi wanamkubali bwana mkubwa.kwani wana imani nae wana uhakika anawajali na anawafikiria kila mwaka.yana mwisho hayo.
Yeye ni kiongozi mkuu wa TUCTA lazima atakachosema ni TUCTA imesema, ni sawa na M/kiti, katibu wa chama ingawa kuna msemaji wa chama lakini kitu chochote cha chama kikitamkwa na katibu say Makamba huwezi kukitofautisha na tamko la chama.Nilikua najua Mgaya ni NAIBU KATIBU WA TUCTA kumbe ni MSEMAJI wa TUCTA
nashkuru kwa taarifa
Mgaya alikuwa anatikisa kibiriti.Amekuta kimejaa.na hivyo ndivyo watanzania tunahitaji kiongozi asiyeyumbishwa hovyo kwa kisingizio cha kura.kwa taarifa yako wafanyakazi wanamkubali bwana mkubwa.kwani wana imani nae wana uhakika anawajali na anawafikiria kila mwaka.yana mwisho hayo.
Stay away from the fool JK
Mgaya alikuwa anatikisa kibiriti.Amekuta kimejaa.na hivyo ndivyo watanzania tunahitaji kiongozi asiyeyumbishwa hovyo kwa kisingizio cha kura.kwa taarifa yako wafanyakazi wanamkubali bwana mkubwa.kwani wana imani nae wana uhakika anawajali na anawafikiria kila mwaka.yana mwisho hayo.
Heri wajikalie kimya maana vinginevyo, watakwenda mezani wakiwa na Plaster kichwani.
Hivi hili la Plaster na lenyewe kasingiziwa?
Mgaya alikuwa anatikisa kibiriti.Amekuta kimejaa.na hivyo ndivyo watanzania tunahitaji kiongozi asiyeyumbishwa hovyo kwa kisingizio cha kura.kwa taarifa yako wafanyakazi wanamkubali bwana mkubwa.kwani wana imani nae wana uhakika anawajali na anawafikiria kila mwaka.yana mwisho hayo.
Kwani kugoma ni suluhu? Mtoto wako akisusa kula chakula kwa sababu aliomba umnunulie nguo mpya na wewe hukuwa na fedha na ukamwambiaa, nikipata nitakununulia utafanya nini? Au akuta mama nyumbani amepika ugali na dagaa, Yeye akasema mimi nataka kula pilau kuku wakati kwa wakati huo wewe huwezi kufanya hivyo utafanyaje/