MGANGA MCHAWI
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 199
- 393
TUCTA ni danganya toto mbona werevu wanalijua hilo.Mimi huaga naiona TUCTA kama conspiracy fulani hivi.Nmejaribu kujiuliza maswali mengi kuhusu kinachoendelea sasa hivi juu ya wafanyakazi wa umma nimebaki sina majibu.bNini lengo la kuanzishwa kwake? Wafanyakazi wa umma sasa hivi wapo ili mradi siku imepita. Mazingira ya kazi yamekua magumu, watu wanafanya kazi kwa uoga sababu vitisho vimezidi. Promotions zimesitshwa kwa uongo wa mwezi mmoja au miwil ila sasa hivi ni zaidi ya miezi 6 kimya.
Uhamisho hakuna anaejua kinachoendelea. Ajira serikalini zimekuwa kitendawili. Hivi hawa TUCTA hawaoni? Nilijaribu kusikiliza hotuba ya kiongozi mpya aliyechaguliwa hivi karibuni hakuna alichoahidi juu ya wafanyakazi zaidi ya kusema atapambana kuhakikisha mali za shirikisho zinarudi. Hakuna wanachosema chochote kuhusu haki za wafanyakazi.
Hivi hawa viongoz si wamechaguliwa au wameteuliwa? Wanaogopa nini kuikemea serikali kuhusu kinachoedelea? Mbona Kenya wenzetu wameweza, sisi tunashindwa nini???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukitaka kuona makucha ya TUCTA na wake zake akina TALGWU, TUGHE, nk waambie "sheria ya kuwepo na hiari ya kuwa mwanachama na hiari ya kuchangia vyama vya wafanyakazi" speed watakayotoka nayo huko mafichoni kwenye ofisi zenye viyoyozi!
TUCTA ni danganya toto mbona werevu wanalijua hilo.Mimi huaga naiona TUCTA kama conspiracy fulani hivi.
Mazingira ya kazi yana tofauti gani gani na kabla 2015?Nmejaribu kujiuliza maswali mengi kuhusu kinachoendelea sasa hivi juu ya wafanyakazi wa umma nimebaki sina majibu.bNini lengo la kuanzishwa kwake? Wafanyakazi wa umma sasa hivi wapo ili mradi siku imepita. Mazingira ya kazi yamekua magumu, watu wanafanya kazi kwa uoga sababu vitisho vimezidi. Promotions zimesitshwa kwa uongo wa mwezi mmoja au miwil ila sasa hivi ni zaidi ya miezi 6 kimya.
Uhamisho hakuna anaejua kinachoendelea. Ajira serikalini zimekuwa kitendawili. Hivi hawa TUCTA hawaoni? Nilijaribu kusikiliza hotuba ya kiongozi mpya aliyechaguliwa hivi karibuni hakuna alichoahidi juu ya wafanyakazi zaidi ya kusema atapambana kuhakikisha mali za shirikisho zinarudi. Hakuna wanachosema chochote kuhusu haki za wafanyakazi.
Hivi hawa viongoz si wamechaguliwa au wameteuliwa? Wanaogopa nini kuikemea serikali kuhusu kinachoedelea? Mbona Kenya wenzetu wameweza, sisi tunashindwa nini???
Wanaotekeleza kazi za field wanaambjwa wafanye bila posho.kwa kuogopa wanajigaramia kutekeleza majukumu yaoMazingira ya kazi yana tofauti gani gani na kabla 2015?
Nai anafanya kazi kwa uoga?
Kama hilo halipo kwenye mkataba wao ni ujinga wao tu kufanya kwa kujigharamiaWanaotekeleza kazi za field wanaambjwa wafanye bila posho.kwa kuogopa wanajigaramia kutekeleza majukumu yao
Sawa ni wajingaKama hilo halipo kwenye mkataba wao ni ujinga wao tu kufanya kwa kujigharamia