Sekta binafsi inasubiri Tangazo la scale za mishahara mipya, where are they?TUCTA wako wapi?? CHODAU ilikufa?
Ukiona watu wanagombea nyadhifa huko ujue wanatafuta ulaji. Huna habari kuwa viongozi wengi wa vyama vya wafanyakazi wapo katika Bodi za Wakurugenzi za mifuko ya jamii, Bodi za Tume ya Usuluhishi na Uamuzi na juzi nimemuona mmoja amechaguliwa kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya SSRA.Sekta binafsi inasubiri Tangazo la scale za mishahara mipya, where are they?TUCTA wako wapi?? CHODAU ilikufa?
Hicho chama kimesajiliwa Tanzania?Chodau - CHODAWU...........
Hicho chama kimesajiliwa Tanzania?