TUCTA wagumu sana kuelewa

kikokotoo kipya

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
441
Reaction score
490
Leo Mh.Rais Magufuli amewajibu TUCTA kuwa muda wake wa kuondoka madarakani bado.Nadhani aliwashangaa kumkumbusha mapema sana ahadi yake ya kupandisha /nyongeza ya mishahara kabla ya muda wake wa kuwa madarakani kumalizika.

Je TUCTA hawaelewi kuwa Muda wa Rais Magufuli kuondoka madarakani ni 2025?.Na kama wanaelewa walipitiwa wapi kumkumbusha leo miaka sita kabla ya Muda.Naamini TUCTA watajisahau tena Mwakani watamkumbusha wakidhani ndio utakuwa mwaka wake wa mwisho.
 
Nadhani hujafikiri kabla ya kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…