Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,978
- 3,633
Kwa MuseveniNCHI JIRANI ndo ipi?
Since the latter is not even available, if such times arises.., its just six feet under..., lets hope it does not hit us on breathing system...
Wananchi wahamasishwe zaidi na zaidi kutojazana kwenye mabasi, matumizi sahihi ya barakoa, maana kuvaa barakoa ni jambo moja na uvaaji sahihi ni jambo jingineAkizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mkurugenzi wa kinga wa Wizara ya Afya, Dk Leonard Subi ametoa maagizo kadhaa likiwemo la kuwataka wananchi kuvaa barakoa.
“Wizara inawakumbusha wananchi wote kutopuuza ugonjwa wa Covid-19. Wizara imeanza kuona viashiria vya kutokea kwa wimbi la tatu la mlipuko wa ugonjwa huu katika nchi yetu.”
Anazika majeneza yenye matambara na takataka kuihadaa jumuiya ya kimataifaKwa Museveni
Wahuni waleAnazika majeneza yenye matambara na takataka kuihadaa jumuiya ya kimataifa
Sipati picha siku ya mwisho ya hukumu watu watakavyoweka mawakili wa kila ainaWahuni wale
Tatizo zile pesa ni nyingi mnooo lazima watengeneze sinema
Imagine Kuna mengine mangapi ya uongo kuhusu Corona yanafanyikaAnazika majeneza yenye matambara na takataka kuihadaa jumuiya ya kimataifa
Imagine Kuna mengine mangapi ya uongo kuhusu Corona yanafanyika
😀😀 Sawa sawawazungu walitupiga sana acha na cc tuwapige kidgo !! NA MAIGIZO YAENDELEE!!
Upuuzi mtupu, ni ushenzi kutia watu hofu kwa ugonjwa ambao ni wa kawaida kwetu, hayo ni mafua kama mafua mengine, tumekuwa tukiumwa na kupona mafua miaka yote, thisi is no different. Kwanza kuvaa barakoa kuna shusha kinga ya mwili kwa sababu unaukosesha mwili nafasi ya kupata maambukizi na kujijemgea natural immunity. Hawa madalali wa chanjo wanatupeleka wapi jamani, kwani hakuna njia zingine za kupiga pesa huko serikalini?Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mkurugenzi wa kinga wa Wizara ya Afya, Dk Leonard Subi ametoa maagizo kadhaa likiwemo la kuwataka wananchi kuvaa barakoa.
“Wizara inawakumbusha wananchi wote kutopuuza ugonjwa wa Covid-19. Wizara imeanza kuona viashiria vya kutokea kwa wimbi la tatu la mlipuko wa ugonjwa huu katika nchi yetu.”
“Hii ni kutokana na taarifa za ufuatiliaji wa mwenendo wa ugonjwa huu zinazofanywa na wizara na mwingiliano kati ya watu wetu na mataifa mengine,” amesema Dk Subi.
Amesema idadi ya wagonjwa wanaokutwa na vizuri vya corona barani Afrika imeongezeka ndani ya wiki tano mfululizo zikiwemo nchi jirani na Tanzania, “maambukizi yanaongezeka maradufu kuliko ilivyokuwa wimbi la pili.”
Katika maelezo yake amewataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono na kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni.
Upuuzi mtupu!