Tucheze kamchezo kamoja hivi

Tucheze kamchezo kamoja hivi

Kingkorlar

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2018
Posts
875
Reaction score
996
Andika jina la mchezaji wa timu yoyote ile ila jina hilo ukiligeuza liwe na maana ile ile
Naanza mimi

Kindoki=Kindoki
Kaka=Kaka

Endeleeni na ninyi
 
Umeshafeli mtoa mada labda huelewi maana ya kuligeuza neno. Mfano: KINDOKI ukigeuza maneno inakuja IKODNIK. KAKA inakuwa AKAK
😂😂😂😂 Daah
 
Back
Top Bottom