WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,616
- 3,800
Tanzania kwa sasa inatekeleza mradi wa Building Better Tomorrow (BBT), chini ya Wizara ya Kilimo inayo Ongozwa na Bw. Hussein Bashe.
Tusipokuwa Makini mradi huu tutapigwa tukio kama miradi mingine ya awali. Mfano: Kilimo Kwanza, Mrabita, Mkukuta, nk. Kila mwaka wanasiasia wana badilisha jina ili wapige. BBT inaweza isiwe sustainable kwa gharama za kukodi mashamba, kuandaa shamba, nk.
Vilevile, Chaguzi za maeneo ya miradi ya BBT imechaguliwa Kisiasa na kuacha Mikoa ya Kilimo kama Mbeya, Iringa, Mara, Mwanza, Simiyu nk. Na kuingiza mikoa ya Ardhi kavu kama Dodoma.
USHAURI:
1. Irrigation Schemes (Kilimo cha Umwagiliaji). Wezesha makundi ya Wakulima wadogo wadogo wazawa wa eneo husika. Kuzalisha mara 2 au 3 kwa Mwaka kwa zao husika. Hakuna nchi ita endelea kwa Kilimo kwa kutegemea mvua ya msimu ya Mungu pekee. Mabonde yote yalimwe kwa umwagiliaji. Mito na Maziwa ni mengi Tz shida ni vipaumbele tu.
2. Mitaji. Hapa tuna ongelea. Trekta, mbegu, dawa na teknolojia. Achana na kutoa million 50 au million 200 kwa mtu mmoja mmoja. Hasa teknolijia za kulimia, kuhifadhi maji, umwagiliaji, kuchakata mazao, kukoboa, nk.
3. Wezesha Jamii not individuals. Iwe in Groups siyo mtu binafsi. Kuna wasomi wa SUA hawajawahi hata kushika jembe. Achana na watu binafsi. Wezesha jamii ya eneo flani, hasa Kijiji. Fufua maeneo yote ya Mabonde tengefu ya Kilimo ya Mwl. Nyerere.
4. Kama ni mikopo midogo midogo ielekezwe kwa Wananchi Wazawa Vijijini. Hawa wana mashamba yao, hawakodi hivyo kupunguza gharama za mradi. Mikopo wasipewe Watumishi wa Umma / Wafanyabiashara wakubwa bali raia wanao ishi pamoja.
5. Jukumu la BBT linyang'anywe kwa Wanasiasa. Wabunge, Madiwani na Mawaziri wasiwe sehemu ya zoezi. Wao wapewe Feedback tu. Ila. BBT vikabidhiwe Centers za Tafiti za Kilimo na vyuo vya Kiliomo vya mkoa husika.
Kwasasa Bashe yeye ndie mwenye Briefcase yote ya BBT from A to Z! What a failure!
6. Hatutaki mbegu za Kisasa kwa mazao yote. Hasa za tafiti uchwara na za mapokeo ya magharibi bila ya tafiti na kujriidhisha angalau kwa miaka 12. Hizi mbegu siyo nzuri kiafya (magonjwa mengi yasiyo eleweka, sumu), uzalishaji hafifu (you cant reproduce them). Pia zina asili ya kuharibu ardhi...na kupoteza uwezo wake wa asili. Mchele una pikwa Jikoni...ww upo sebuleni hata harufu tu ya Wali huskii. Unakula kama una kula makapi...
7. Tupunguze sana matumizi ya mbolea za kisasa pale pasipo hitajika. Hizi zinaongeza sana gharama za mradi huu bila sababu. Tuwape Elimu wananchi kutumia mbolea ya Mboji na Samadi. Hii ni bure, asilia na ina endana na ardhi. Tabia ya kutumia mbolea sana ina punguza uwezo wa ardhi kuzalisha. Mfano: Mwili uki uzoesha kila ukiumwa kichwa- Panaldo, hata kinga ya mwili huo itapungua na kushindwa kujilinda dhidi ya mashambulio dhaifu. Hivyo hivyo kwa shamba na mbolea. Kutoa elimu ya mbolea asilia na kupanda miti mashambani kwa umbali unao faa.
8. Kilimo kiendane na Uvuvi. Wote wawezeshwe.
9. Viwanda. Kuanzishwe viwanda vidogo, vya kati na vikubwa. Ipigwe marufuku kusafilisha mazao halisi nje ya nchi. Isipokuwa only processed produce. Magogo yapigwe marufuku kwenda China hivyo Kahawa, Mahindi, Parachichi, Maembe, mbuzi, Ng'ombe, nk. Nilishangaa Balozi Kairuki, licha ya kuwa Balozi Wa Tz China kwa miaka zaidi ya 10 hakuna kiwanda chochote alicho attract Tz! Then, TBC1 inampa 1 hour coverage kuhamasisha kusafirisha Raw Ovacado! What a shame from a learned bro. Ondoeni mabalozi Mizigo Ubalozini wasio isaidia nchi.
9. Rudisheni masomo ya Kilimo na Biashara shule za msingi na Sec. Tujenge vyuo ya Kati na kuviwezesha vyuo hivyo kuwa Bustani ya kuandaa Vijana bure. Futa JKT. Unazalisha jeshi la akiba miaka 40 bila vita! Hii ni biashara kichaa. Tuachane na Western mentality. Miezi 3 vijana waende vyuo hivyo vya Kilimo na Biashara. Baada ya miezi 3 waende kama ni vyuo vikuu.
10. Teknolojia ya Kilimo ni mhimu. Shamba la ekari 1 lilimwe kwa dk 30 siyo siku 7.
11. Masoko. Wizara ijipange kutafta soko la kila zao. Tena mazao yalio ongezwa thamani. Nilimskiliza Balozi Wa Tz Nchini Nigeria, Dkt. Bana. Ana pigapiga tu uswahili pale TBC1, he can't even deliver any Tangible product Tz imefaidika kwa yeye kuwa Balozi Nigeria.