..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo
theheeee that's a gospel song my friend.... Jesus has no Facebook..no twitter..... hajawahi muona... kwanini asimuonyeshe Jesus familia yake? Jesus alisema atarudi....bado chamelion anasubiri.
think twice..
..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo
Mi sikuelewaa yule mwanamke mwenye shela ndio nani Shetan au ndio alikua anamuimbia huyo mwanamke!!!!
Naupenda sana huu wimbo.., TUBONGE.., IT'S GOSPEL TIME.
Mkuu..hivi kwa wasanii wa kibongo nani anaweza kumfikia Chamelion kifedha!
Mkuu..hivi kwa wasanii wa kibongo nani anaweza kumfikia Chamelion kifedha!
..akipenda amwone ampe chochote kwani alimwona wapi.. hana NUMBER YAKE hana WALA hayupo facebook wala twitter..sura alificha alimwona wapi au alimuootah 2.??
ampe chochote atampa hata mapenzi..? ampende ivo hadi kumkaribisha kwake ale chakula chake ..duu ndio tuseme alimpenda alipomwona mara ya kwanza japo hakumwona sura mapenzi gani hayoo..?amemsubiri muda mrefu wakati hamjui? mmh wakati mwishoni anasema Aje amwonyeshe watoto wake ci itakuwa balaa kwa mkewe ..? kaka chameleone kachemka hamna ujumbe mzuri katika huuu wimbo..au mwenzangu unaonaje inawezekana labda cijauelewa vizuri huu wimbo
Malaika..
Well said.....Ujue nimejiuliza sana huyu mtoa Mada amekosa uwezo hata wa kutafakari?? Na Mwishoni kabisa Chameleon amesema Its Gospel time now!!!..??theheeee that's a gospel song my friend.... Jesus has no Facebook..no twitter..... hajawahi muona... kwanini asimuonyeshe Jesus familia yake? Jesus alisema atarudi....bado chamelion anasubiri.
think twice..
angalia ie video ya wimbo
mbona inajieleza vizuri sana?wewe unaonekana hujui fasihi ndio maana unaandika non sense hapa
ok,kwa kifupi video ya wimbo inaonyesha kwamba jose amekua kionana na mwanamke katika ndoto,na akajikuta amempenda,huyo mwanamke alikua akimtokea katika ndoto ila sura yake imajificha(mask) sasa ndo anamuimbia akisema anatamani amuone japo kwa sura angejua jina lake angemtafuta facebook au twita ila ahatasura alificha,ukiangalia video unaelewa sema tu wewe kichwa ngumu unalipuka tu