Tubadilike

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,402
Reaction score
56,206
Mwanamke miaka 35 hujaolewa,unatatizo gani?
Mwanaume miaka 45 hujaoa nawe unatatizo gani?
Chukueni hatua wakuu,msijekuwa 'reject'
 
Mtoto atamuacha mamaye na atamfuata mwenzi wake/nendeni duniani mkazae na muongezeke

Unaweza kuacha mama ukaenda kwa mwenzi ila ukashindwa kuijaza dunia
Na unaweza kushindwa kupata mwenza ila ukajaza dunia

Kimsingi hayo maandiko yapo ila kibinadamu na kiimani yote yanakamilika kwa mipango ya Mungu

Kuwahi ama kuchelewa kuoa/kuolewa ni mipango ya Mungu 😁
 
Mkuu tusimsingizie Mungu kila kosa,hata machizi pia wanaitaji wapenzi
 
Yaani ukose mwenza alafu uijaze dunia, hii Kali ya mwaka, bila Shaka ukiwa na sifa hiyo utakua mama yake Yesu
 
Kwani kwa mujibu wa kikatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umri wa kuoa au kuolewa ni upi ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…