Tuanzishe Kampeni; #FUKUZA*RSA*SADC

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,804
71,231
Haya manunda ya Afrika kusini yamegeuka kuwa majitu mabaya kuliko hata Makaburu tuliyo yatenga miaka ile kabla ya 1994.
Sasa kwa vile Tanzania ndio mwenyekiti wa sasa wa SADC tuanzishe kampeni ya kuwatenga na kuwafukuza Afrika ya kusini kwa sababu sio Rais wao au waziri wao wa ulinzi walio onyesha uwajibikaji katika kadhia hii zaidi ya kuwaona askari wao wakichekelea wanapoona MTU anakufa kwa kuchomwa moto.
Yuwashawishi na COSATA nao wawatenge basi ili wabaki na nchi yao wapendavyo.
#FUKUZA*RSA*SADC
 
Maneno ya aliewahi kuwa Raisi wa Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi wa rangi, P.W.Botha kuhusu waafrika yametimia kwa vitendo, ingawa wakati ule alishambuliwa sana ila ukweli una tabia ya kujidhihirisha hata kama ni baada ya miaka mingi.
 
Uzi huu kama ingewezekana ufutwe haraka sana unataka kuanzisha chuki na kuchochea ubaguzi ambao gharama yake ni kubwa umetofautiana nn mawazo yako na hicho kilicho fanyika huko south mtu tu anatoka huko kavimbiwa makande unaanza kuchochea chuki dhidi ya wageni nini maana yake
 
Haya manunda ya Afrika kusini yamegeuka kuwa majitu mabaya kuliko hata Makaburu tuliyo yatenga miaka ile kabla ya 1994.
Sasa kwa vile Tanzania ndio mwenyekiti wa sasa wa SADC tuanzishe kampeni ya kuwatenga na kuwafukuza Afrika ya kusini kwa sababu sio Rais wao au waziri wao wa ulinzi walio onyesha uwajibikaji katika kadhia hii zaidi ya kuwaona askari wao wakichekelea wanapoona MTU anakufa kwa kuchomwa moto.
Yuwashawishi na COSATA nao wawatenge basi ili wabaki na nchi yao wapendavyo.
#FUKUZA*RSA*SADC
Wa kufukuza ni yule Kiberenge wa Kihutu hapa kwetu mkuu, na wauaji wake, hawa wananuka damu za akina Lissu kwenye mikono na miili yao!
 
Haya manunda ya Afrika kusini yamegeuka kuwa majitu mabaya kuliko hata Makaburu tuliyo yatenga miaka ile kabla ya 1994.
Sasa kwa vile Tanzania ndio mwenyekiti wa sasa wa SADC tuanzishe kampeni ya kuwatenga na kuwafukuza Afrika ya kusini kwa sababu sio Rais wao au waziri wao wa ulinzi walio onyesha uwajibikaji katika kadhia hii zaidi ya kuwaona askari wao wakichekelea wanapoona MTU anakufa kwa kuchomwa moto.
Yuwashawishi na COSATA nao wawatenge basi ili wabaki na nchi yao wapendavyo.
#FUKUZA*RSA*SADC

Nadhani una hoja hapa....
 
Haya manunda ya Afrika kusini yamegeuka kuwa majitu mabaya kuliko hata Makaburu tuliyo yatenga miaka ile kabla ya 1994.
Sasa kwa vile Tanzania ndio mwenyekiti wa sasa wa SADC tuanzishe kampeni ya kuwatenga na kuwafukuza Afrika ya kusini kwa sababu sio Rais wao au waziri wao wa ulinzi walio onyesha uwajibikaji katika kadhia hii zaidi ya kuwaona askari wao wakichekelea wanapoona MTU anakufa kwa kuchomwa moto.
Yuwashawishi na COSATA nao wawatenge basi ili wabaki na nchi yao wapendavyo.
#FUKUZA*RSA*SADC

Nadhani una hoja hapa....
 
Uzi huu kama ingewezekana ufutwe haraka sana unataka kuanzisha chuki na kuchochea ubaguzi ambao gharama yake ni kubwa umetofautiana nn mawazo yako na hicho kilicho fanyika huko south mtu tu anatoka huko kavimbiwa makande unaanza kuchochea chuki dhidi ya wageni nini maana yake

Ndugu watu wanauwawa unataka nini tufanye badala ya kuwatenge, hatulipizi tunawatenga tu mpaka akili zao zikae sawa. Maana kwa kufanya hivyo ndio tutakuwa tumeonesha hasira zetu.

Ukiniuliza mimi siungi mkono raia wasio na waledi kuvamia nchi ya watu na kufanya kazi zinazoweza fanywa na

Mamlaka ziwakamate nankuwarudisha makwao au wawape muda waondoke bila buguza, na si kuwaua na kuwa choma moto
 
Siungi mkono hoja! SADC bila RSA haitanoga kabisa! Yaani ni sawa na kumuondoa Makonda kwenye ukuu wa mkoa wa Dar kwenye awamu hii ya tano! Muhimu ni kwa serikali kumaliza hizo changamoto kwa vitendo na pia wanasiasa kujiepusha kuwatumia wahuni ili kujijenga kisiasa.
 
Pamoja na kuharibu hoja yako kwa kumtaja Makonda, mfumo wa kuwatenga watu (utawala) ni jambo la kawaida.
Huwezi kuwa na umoja wa nchi ambao mwenzenu mkienda kwake mnashambuliwa na kuuwawa?
Mnajitenga nao kama ishara kuwa hamkubaliani na matendo ya kinyama wanayofanya kwa washirika wao.
 
Back
Top Bottom