Baba wawili
Member
- Aug 24, 2011
- 11
- 0
Wapendwa JF members, mie ndo kwanza najiunga katika ulimwengu huu adimu but very crucial for today. Jamani ninauchungu sana na hawa wanaokiuka maneno ya mwl. nyerere baba wa taifa ya watu kuiweka serikali ya nchi mkononi mwao. Sasa kilichopo hewan ni akina Jaira na Ngelejibasi kwao wanaiweka nchi hii mifukoni mwao halafu kwakuwa mheshimiwa ni wa kwao mambo ni rahisi kama kudondoka toka mtini.
Sioni sababu kwanini tusiandamane hata kabla ya bunge na kamati tarajali kufanya kazi, kwani tutakuwa wagumu kufanya maamuzi magumu mpaka lini? jamani inatosha sasa..........

<br / kwahiyo wewe ni mwoga wa kuitetea haki yako? Heri kufa kishujaa kuliko kufa km mzogaNa siku ya maandamano awepo mkeo na hao wawili wako wawe mbele ili polisi wakiwaona wapate kigugumizi cha kufayatua risasi za moto.
Sherehe ya Jairo ni harusi ya Ngeleja ni Kekwete, ila we kafiri uliyepositi hapo juu laiti ungetoa huo ukuda wako mbele yangu na nikakusikia ningepata mada kesi kwa sababu ningekuchinja kama mbuzi

‎"Think kiasi gani tumepoteza kama taifa, Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!

TICTS, RADAR,NDEGE YA RAIS, SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TWIN TOWERS BOT, MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini), KAGODA(EPA), MEREMETA, RICHMOND/DOWANS, WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM), IPTL, NA MINGINE MINGI...

TUAMBIANE KUWA... SIKU TULIZOSUBIRI, KUVUMILIA, KU...TESEKA NA HATA KUDHARAULIWA KWA AIBU ZIMEKWISHA: NAPENDEKEZA

JUMATATU HII 29 AUGUSTI 2011 ITAKUWA SIKU TAKATIFU KWETU SOTE KUONESHA UZALENDO WETU KUITETEA NA KUITUKUZA NCHI YETU KWA KUONESHA KWA VITENDO KUCHUKIZWA KWETU NA MAOVU YOTE TULIYOSHUHUDIA KWA ZAIDI YA MIAKA 30 SASA! NJOONI KILA MMOJA KWA BARABARA YAKE KWA AMANI NA UMOJA WETU TUELEKEE MNAZI MMOJA. WALIOKO MIKOANI WAELEKEE OFISI ZA SERIKALI MIKOANI, NA WILAYANI KWAO.Amini katika Mungu! Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.
Na siku ya maandamano awepo mkeo na hao wawili wako wawe mbele ili polisi wakiwaona wapate kigugumizi cha kufayatua risasi za moto.