Tuamke tuzinduke tuwambie wanainchi ukweli.

Tuamke tuzinduke tuwambie wanainchi ukweli.

mkokotoaji

Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
54
Reaction score
10
Kiukweli kama kijana wa nchi hii nimesikitishwa na mchakato huu wa katiba iliyopendekezwa.binafsi nimeamua kuandika machache kwa kalamu na wino.naandika haya nikililia nchi yangu yenye maziwa na asali lakini wachache wanajinufaisha eti kisa wingi wao bungeni.tuamke tuzinduke tuwaelimishe ukweliv kuhusu haki na usawa ukomo wa wabunge ,tunu za taifa ,haki ya kuwawajibisha wabunge ,mbunge kuwa waziri ,elimu ya mbunge.mwisho tuwandae kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwahimiza wajitokeze kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari la kupigia kura
 
Mkuu mkokotoaji nadhani una jamaa, ndugu na marafiki wengi tu. Ukisambaza ujumbe huo kwa wote na wao pia wakausambaza hivyo hivyo kwa watu wao, hakika ujumbe wako utakuwa umewafikia watu wengi sana.

Kwa mfano, mimi ninafanya hivyo kwa kila namna, mitandaoni, uso kwa uso na kwenda hata mpaka kijijini kwa babu na bibi kuwaelezea kuhusu udhalimu wa ccm.

Ninafurahi kusema kwamba nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa na wote ambao wapo kwenye mtandao wangu nao wanasambaza huo ujumbe.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: jme
Back
Top Bottom