Tuambizane ukweli wanaCC

Naona unachokitafuta ni kukojoa dagaa!
Pale alipotokea manoah , patatoka smoll fish!

Judgement hivi mwanangu manoah kapotelea wapi? Tangia aniage anakwenda yukee kumtembelea mchumbake mimisa chuoni ndo mpaka wa leo sijamsikia,au kakamatwa na sembe addis ababa? Maana hawa vijana......
 
Last edited by a moderator:
Judgement hivi mwanangu manoah kapotelea wapi? Tangia aniage anakwenda yukee kumtembelea mchumbake mimisa chuoni ndo mpaka wa leo sijamsikia,au kakamatwa na sembe addis ababa? Maana hawa vijana......

Labda waungwana wanakuficha tu! Mwanao kafanywa Mario na shugamamy la Kinyarwanda Kigali .
 
Last edited by a moderator:
Dah hii mada sijui nilikuwa wapi eti Bishanga umeulizaje?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…