Tuambiwe Ukweli Tu

😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀😀😀 HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUU !!!
 
Watuambie nchi imefilisika tutawaelewa vinginevyo Wanataka Tutukane watupe Kesi ya Uchochezi kmamae

Hata bila kuweka hilo neno (bold) ungeeleweka tu
 
Mpaka 2020 Tutakuwa Hoi Zaidi ya wagonjwa walioko Moi.... mother Fantaaaaaaa hahahaha HAPA KAZI TU
 
Kule North Korea muhukumiwa akifariki ndugu waliobaki wanaendelea kutumikia kifungo,

Tanzania mdaiwa akifariki ndugu waliobaki wanaendelea kudaiwa.....Hizi nchi kama zina ka-upacha fulani.
 
mdaiwa akishafariki bhac, na kesi inaishia hapo, ni kama traffic kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…