Tuambie unachojua

Bemba

Senior Member
Jun 9, 2016
128
57
habari zenu wana JF!hope weekend ilkua poa kama haikua poa kwa upande wako pole sana.
binadam tunatofautia uelewa,upembuzi na ujuzi wa mambo... itakua vizuri ukitueleza kile unacho kijua kuhusina na maisha kwa ujumla .
mimi naamini sikuzote yule anaefanya kazi kwa bidii ndiye hufanikiwa kama tu atapangilia mipango yake kiubunifu na kwa malengo..mfano tajiri mkubwa duniani hakua vizuri sana darasani lakini kwa ubunifu alokua nao ukatosha kumtoa kimaisha nayule alokua anakua kichwa katika darasa alokua anasoma Billget ndie akawa enginear kweye program yake ya microsoft...hivyo naona kutoka kimaisha ni mipango

haya tuambie na wewe unaelewa nini kuhusu jambo fulani?
 
Back
Top Bottom