Serious nimejifunza jambo hili, lakini kabla sijataja nilichojifunza, ni hapahapa JF ambapo mlinishawishi kuwa kila memba ana degree, yaani ni graduate....nami nikaamua niende zangu Varsity....hahaha: nilichokikuta chuo kikuu yaani watu wanameza tu nadharia za wazungu...yaani nje ya matakataka wanayomeza ili wapate GPA Kali vichwani mwao watupu, yaani sasa hivi ukiniambia una degree, sijuhi master nakuona wa kawaida tu ila ninachothamini assa ni je, ubunifu wako katika Ku apply kile ulichojifunza ukoje, full stop!