Tuambie jambo jipya ulilojifunza ndani mwaka 2016

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,381
29,627
Karibu mwana JF,

Tuambie mambo uliyojifunza ndani ya mwaka huu, ambao tunatarajia kuumaliza ndani ya siku hii ya leo. Karibuni.
 
Serious nimejifunza jambo hili, lakini kabla sijataja nilichojifunza, ni hapahapa JF ambapo mlinishawishi kuwa kila memba ana degree, yaani ni graduate....nami nikaamua niende zangu Varsity....hahaha: nilichokikuta chuo kikuu yaani watu wanameza tu nadharia za wazungu...yaani nje ya matakataka wanayomeza ili wapate GPA Kali vichwani mwao watupu, yaani sasa hivi ukiniambia una degree, sijuhi master nakuona wa kawaida tu ila ninachothamini assa ni je, ubunifu wako katika Ku apply kile ulichojifunza ukoje, full stop!
 
In January, a man with no experience in politics will be sworn in as America's next president
 
Ukishika ukuta na kisha ukakata na kufunua vizuri, mafisadi wa ufipa watakupatia msosi hadi uvimbewe.
 
Back
Top Bottom