Tuachieni Yanga Yetu

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,116
1,422
Naandika nikiwa sijapata majibu mpaka sasa, hivi sisi Yanga tumepatwa na nini? Yaani ghafla tunapokea watu waliokufa na Simba na sasa ndio wanakua watu muhimu ktk timu, hivi kwa kweli tutegemee nini hapa?

Kila mmoja anamjua manara, maneno anayotoa kwa club yake ya zamani ambayo aliapa yupo tayari kufa ili kuilinda leo anakua ndio tegemeo letu ndani ya siku moja tuu.

Nawaambia huyu atakuja kutugeuka ndani ya saa moja tuu na kutusema vibaya kuliko anavyosema sasa hivi.

Namkumbuka marehemu mzee Akilimali, asingekubali ujinga huu.

Hawa wanaojiita wafadhili wetu wapo hapo kwa maslahi ya biashara zao ukweli unabaki kuwa hao wote wapo upande wa pili..

Ni muda muafaka sasa wa hawa mamluki kuondoka kama tutataka mafanikio ya club yetu.

Wana-Yanga tuungane kusafisha nyumba yetu ili turudishe heshima ya timu.

Aluta Continua
 
1631762624238.jpeg
 
Ni ukweli Haji hakupaswa kupewa kazi Yanga, lakini hata hivyo msemaji wa club huwa hana namba uwanjani. Kikubwa ni kuwa timu imesajili wachezaji wazuri kuliko timu YOYOTE hapa Tanzania. Tunachopaswa kufanya ni kutafuta matokeo uwanjani na si kupoteza muda na wasemaji wa club. Hivi nikikuuliza je unawajua wasemaji wa Man utd, Chelsea au Madrid ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom