The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,915
- 19,126
Wakuu habari ya muda huu,
Kusema kweli nieape tu pongezi wote wenye six packs au flat belly kwa jitihada zao.Usione mtu ana six packs ukamchukulia poa ukadhani zinaokotwa ti barabarani au zinapatikana kwa urahisi.
Nimeanza mazoezi hii wiki ya pili mazoezi ya kipunguza tumbo baada ya kuona linaanza dalili za ukitambi ukitambi, aisee asikwambie mtu hapa natamani hata kuacha mazoezi, misuli yote ya tumbo inauma vibaya sana.
Kwa kweli heshima kwenu wenye six packs, kupata six packs au tumbo flat hasa kama una kitambi sio kazi lele mama, unahitaji kujitoa dhabihu(sacrifice).
Wakuu nitakieni heri nisike ishia njiani na haya mazoezi + kutokula.