Tuache utani, Makonda anajua kula na kipofu

Tuache utani, Makonda anajua kula na kipofu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,076
Reaction score
134,461
Nimepindua nilivyopindua lakini ninekubali huyu jamaa anajua kula na kipofu bila mgogoro wowote.

Japo mwisho wake unaweza kuwa mbaya na wa aibu ila kajitahidi sana. Kwa mda ambao amekula si haba tumpe hongera kijana mwenzetu kwa hili jamani. Yote kutafuta maisha sema yeye kaenda mbali zaidi anatafutia kwa wavuja damu

Kumwita mtu nabii na akaitika sio jambo dogo. Mimi mwenyewe ukiniita nabii lazima nikuzingue maana sanifu zimevuka mipaka,sasa huyu anapata wapi ujasiri wa kuita nabii mbele ya viongozi wa heshima
 
Inategemeana na kipofu... kuna vipofu wengine wajanja..ila huyu wa chattle kazid ushamba na ulimbukweni.
 
Mwingine anakuja kwa spidi ya bombadia😀...mteuliwa mpya wa wizara, ana maneno mengi. Anajitahidi kucheza na mind set za vipofu😛😛😛😛
 
Uzuri wa siku na muda huwa havisismami.. Tutaona mengi
 
Mwingine anakuja kwa spidi ya bombadia😀...mteuliwa mpya wa wizara, ana maneno mengi. Anajitahidi kucheza na mind set za vipofu😛😛😛😛
hahaha . anakumbuka ilani ya chama na lisahau hata akuvaa vizur surual kama zile za makonda wa daladala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom