Usikosoe usichokijua mkuu.Sijajua masuala ya identity humu yanachukuliwa vipi.
Jibu unalo mwenyeweHivi katika masuala ya identity Najiuliza jf kwanini iko hivi je ni wazo la aliye create hii forum au ni watu wenyewe na kama yote ni sawa je kuna ulazima gani wa kufanya hivi.
Au ndo tunadhihirisha kwamba watanzania sisi ni wanafiki kiasi hiki.Sijajua masuala ya identity humu yanachukuliwa vipi.
Lakini nafikiri ni vyema kila mtu akawa tu huru kama mitandao mingine facebook,Twitter nk
Huu unafiki bongo utaisha lini hadi kwenye mitandao.....
Big up kwa ambao wapo real...
aiseeMm nipo real cz that's is my real name lakini wakati naandika nikawaza nitakuwa nimekosea nn maana majina ya humu duh km sio ya watu vile
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu Dampa, natumaini hilo ni jina lako halisi japo haujataka kuweka jina lako la pili!
Ninachoomba kujua ni kwamba katika hiyo avatar wewe ni yupi, na huyo mwingine uliyepiga naye picha ni nani?
Nadhani umemujibu vyema kabisa.Duniani kote Discussion Forums zote ziko hivyo!
Halafu hii ni Forum usifananishe na Facebook.
Msanii Mr.Ebo nam'nukuu "Acha kubisha-bisha vitu usivyo vijua oyaa! Hizo ni dalili za ujinga"Eti.... nitajie mojawapo bhasi tena ww unajiita businessman hata biashara ya sambusa tu huna c ufoo huu
Umefukuzwa face book??Hivi katika masuala ya identity Najiuliza jf kwanini iko hivi je ni wazo la aliye create hii forum au ni watu wenyewe na kama yote ni sawa je kuna ulazima gani wa kufanya hivi.
Au ndo tunadhihirisha kwamba watanzania sisi ni wanafiki kiasi hiki.Sijajua masuala ya identity humu yanachukuliwa vipi.
Lakini nafikiri ni vyema kila mtu akawa tu huru kama mitandao mingine facebook,Twitter nk
Huu unafiki bongo utaisha lini hadi kwenye mitandao.....
Big up kwa ambao wapo real...
okNauliza tu