Unajua mimi nawashangaa sana watu walivyokuwa na memories za samaki na unafiki ulivyowajaa.
Tangu kwisha kwa uchaguzi Zanzibar hivi nani aliyekuwa anatowa matamko ya kuchochea ubaguzi na utengano katika Jamii.
Siyo Seif aliyesema watu wasishirikiane na mwanachama yeyote wa CCM, siye Seif aliyesema watu wasitoe huduma za kijamii kwa wanachama wa CCM, siyo Seif aliyesema watu wagomewe maziko, harisi na matanga? Siyo seif aliyesema watu wasilipe kodi.
Na baada ya matamko yake ndiyo zikaaza hujuma Pemba nyumba za wana CCM kuchomwa moto, misiba ya wana CCM kugomea hata misikini pia, harusi watu hawashiri, watu kushushwa kwenye magari na mashamba ya wana CCM kuchomwa moto.
Sasa nauliza matukio yote yale mlikuwa wapi? Nimekumbuka mlikuwapo bali mliendelea kumsifia Seif sharif Hamad na Hata ilipotokea kumto kumpa mkono Shein mkwamwagia sifa kem kem.
Sasa najiuliza. Je, vitendo alivyovifanya Mungu Seif vilikuwa havichochei utengano katika Jamii?
Sasa kwa hivyo tuwache unafiki kwani imekuwa kama kile kisa cha mtoto mdogo anampiga mwenzake kisiri lakini aliyepingwa akiinua mkono tu kutaka kujihami yule mtoto mgonvi anaanza kupiga zogo mamaa ananipiga.
Aliyoyasema makufuli pengine si maneno ya busara kwa macho ya wale waliokaakimywa wakati maalim anapaukwa majukwaani na kutokana na kitendo hicho tu nampongeza Rais kwa kuyasema yale kwani yalikuwa lazima yazungumzwe kwani enough is enough.
Sasa kama wameyasikia basi watatafakari kama hawajayasikia na wakiendelea na vitendo vyao vya kipumbavu basi litakalotokea wasije wakamlaumu mtu kwani muda wa kubembelezana umeshapita zamani.
Zanzibar itaendelea kuwa na Amani ijapokuwa na fear mongering zenu ili ku justify kuendelea na mihemko yenu ya kisiasa.
Najua hivi sasa yatafuata matamko mengi sana. lakini zote hizo ni kengele za mlango.
Hongera Raisi kwa kumfunga paka kengele wenye akili wameyasikia na wasiyo na akili basi hao watu hawahitajiki katika taifa hili.
Mungu Ibariki Zanzibar
Mungu Ibariki Tanzania