FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,898
- 43,807
Japo si vizuri ki-binaadam, ila that place needs to be bulldozed asap.Panatia aibu sana
Hivi mkuu umewahi kupaona pale ilala watu wanavyoishi kama kuku wa kizungu.., yaan nyumba nzuri lakini mazingira na mpangilio hata kibera pana nafuu.., nyumba zingine huwezi kusema ni nyumba.., mi naona prime land kama ile isiachwe ikachafua jiji kwa kiasi hiki.., hata pale buguruni sokoni pako kama zizi la nguruwe.., hivi sisi binadamu kweli kiasi tunaweza kuwa wachafu na hopeless kiasi kile?!Sasa mkisema eti mahali fulani kubomolewe mtajikuta jiji zima la dar linabomolewa, Kwa kifupi miji mingi Tanzania haijakaa katika mpangilio...hii bomoa bomoa haki ya mama waje wabomoe yangu utashangaa unaamka asubuhi "vikojoleo vyao havipo....haiwezekani nihangaike kujenga kibanda changu na mtendaji wa mtaa akiniona alafu leo unakuja kunibomolea kienyeji enyeji tu.
Sasa mkisema eti mahali fulani kubomolewe mtajikuta jiji zima la dar linabomolewa, Kwa kifupi miji mingi Tanzania haijakaa katika mpangilio...hii bomoa bomoa haki ya mama waje wabomoe yangu utashangaa unaamka asubuhi "vikojoleo vyao havipo....haiwezekani nihangaike kujenga kibanda changu na mtendaji wa mtaa akiniona alafu leo unakuja kunibomolea kienyeji enyeji tu.