Tuache tulale.

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,374
Reaction score
99,174
Nivije Wazeiya wa Double C?
E bwana katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao ya kijamii nimekuwa nikikutana na ilo neno mara kwa mara,mtu ana post au update status mwisho anamalizia na #TUACHETULALE Hivi wana maanisha nini? Is it a diss to wema from penny?
 

Mmmmh...!! mie mgeni na mambo ya kina dayamondo hayo.... ngoja waje..
 
sasa wema si alimpigi adayamondo simu usiku akimbembeleza warudiane bahati d alikuwa na penny wakamjibu tuache tulale. ndivyo nielewavyo
 
Baba V huyodiamondo mwenyewe alihojiwa akakubali alipigiwa simu na ex wake na kuongea maneno hayo na walimrekodi wema yawezekana na mengine mitandao inaongezea kunogesha habari
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...kweli wasanii wa Bongo wana vijimambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…