F FURY BORN JF-Expert Member Joined Jul 11, 2020 Posts 637 Reaction score 1,152 Oct 14, 2021 #1 Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
babyfancy JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 2,176 Reaction score 6,188 Oct 14, 2021 #2 Seat ya kwanza
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,924 Reaction score 11,305 Oct 14, 2021 #3 Police jau