tuache kuongeaa hack huwa inafungwaaa jamanii tuwe makini

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
hope mko poa kuna kitu nataka tushirikishane ivi kuna haja ya kujifanya mjuaji wakati aujui nasema hilo sababu kuna jamaa humu ndani alitoa taarifa kuwa anataka elfu tano ndo atoe ujanja wa internet huo si ujanja hauwezi kujua unaowatumia wanaweza kuwa ni hao hao voda au tigo. wewe kama umepata mpe unaemwamini haifai hiyo wakubwa kupiga sana domo tunaishia kufungiwaaa khaaa we mtumie unaemwamini bhana na kuuza ni ujinga hatupo sokoni hapa aaaagh eti enthemiza na chief mkwawa mngekuwa mnatoa hack kwa ela si mngekuwa kama lowasaa na mafisadi wengine NAWASILISHAAAA KAMA NIMEKUKERA SAMAHANI
 
Back
Top Bottom