Morson ni mchezaji wa hovyo Sana na viongozi Kama wanamwogopa vile hana msaada kwa timu,Sawa broo. Tuache double standard. Iv mbna morrison kwa upuuzi wake usio na msaada anakosekana uwanjani lakn huyu mugalu tunamshamblia. Tusiwe kma mashabk wa yanga walomtusi metacha
Kagere anakuofaa kitu kimoja tu , Ila Mugalu anakuofa vitu vitatu na ndiyo maana kocha humuanzisha yeye kiko boko na kagereKwangu mimi Mugalu tangu asajiliwe Simba sijawahi kumuelewa hata kidogo sio juzi tu
Kwangu mimi ni bora ya Kagere kuliko Mugalu
Ni kweli Kama ulivyosema mgalu ana ofa vitu vingi uwanjani lakini anatakiwa afanyie kazi tatizo la kukosa magoli ya wazi karibu kila gemuKagere anakuofaa kitu kimoja tu , Ila Mugalu anakuofa vitu vitatu na ndiyo maana kocha humuanzisha yeye kiko boko na kagere
Mfumo wa Simba aliouasisi djuma ni midfielders wengi mshambuliaji mmoja au striker mmoja na second striker mmoja katika mfumo huu unamuofa Sana Mugalu na boko na siyo kagere . Walimjaribisha siku moja kocha akaingiza washambuliji watatu kagere akawa anatokea kulia pembeni lkn akafeli
Ili kagere afit kunapaswa kuwa na box to box aggressive na lower temper midfielders 3 mpaka WATANO Simba ndo kagere aonekane.
Maana kagere ni clinical finisher yeye lzm awe karibu na goli yeye ni kumaliza Tu sasa hivi Simba haina viungo hao maana yake ukimwingiza kagere Kwa mfumo huo WA sasa wanaocheza Simba. Pamoja na viungo walionao mpira hutaweza kukaa mbele na hii kocha anaiona mazoezini na ndiyo maana kumpanga kwenye mechi inakuwa ngumu
Sasa lzm ujiulize je Bora timu yako ilemewe na timu pinzani Kwa kuwa timu yako haiwezi kukaa na mpira kwenye goli la wapinzani , ambapo unawapa midfielders WA timu pinzani warelax na mabeki walirax kitu bacho kinasababisha timu yako kuruhusu timu pinzani kutengeneza nafasi nyingi na kama wako vzr waweza kuwafuga magoli mengi come. Back to zile 5 /5 ambazo kagere alicheza licha ya Simba kuwa na midfielders 2 box to box aggressive , watulivu magoli waliyofungwa yalianzia nyuma , maana yake striker wa Simba hawakuweza kuutuliza mpira . Sasa ona magoli ya kaiza chiefs ambayo Mugalu alicheza , mogoli mengi yalikuwa ya long balls (counter attack) ambayo Simba walishambulia strikers wao waliponyany'anywa Kwa kuwa kaizer walikuwa wakiubana uwanja midfielders wao walikuwa aggressive na kupiga long pas Kwa uzuri wa striker wa kaizer wakaconveti magoliNi kweli Kama ulivyosema mgalu ana ofa vitu vingi uwanjani lakini anatakiwa afanyie kazi tatizo la kukosa magoli ya wazi karibu kila gemu
Yanga hatucheki na Nyani,tunakula zote. Umemsikia Mugalu alivyowajibu kuwa nyie ni Wanafiki?Sawa broo. Tuache double standard. Iv mbna morrison kwa upuuzi wake usio na msaada anakosekana uwanjani lakn huyu mugalu tunamshamblia. Tusiwe kma mashabk wa yanga walomtusi metacha
sisi tunachotaka striker afunge hayo mengine anayo offer ni nyongeza tu. offer magoli, magoli magoli hayo mengine ayaache.Kagere anakuofaa kitu kimoja tu , Ila Mugalu anakuofa vitu vitatu na ndiyo maana kocha humuanzisha yeye kiko boko na kagere