Tuache kuita magari ya zamani New Model

Sidhani kama inakosewa endapo hiyo gari ya 2004 ndio model mpya nchini kulinganisha na model ya awali.
Kimantiki kwa mujibu wa kamusi ya merriam-webster;
New - having recently come into existence : RECENT, MODERN.
Chochote kilichokuja mbele ya kile cha zamani basi moja kwa moja ni sawa kusema 'new'.
Itakosewa kama mjapan akiita model ya 2004 new ilhali wanaendesha model za 2018 tayari. Kwa hapa kwetu latest model kabisa asilimia kubwa ni 2012 kwa nyingi ya gari zetu za mitumba.
 
Me nna suzuki carry "kirikuu" new model
 
New model means New modifications of the existence!
mbona iko wazi inaeleweka.
mtoa mada unachanganya kati ya new model Vs New Brand !
NOTE;new model can also be new brand
CASE CLOSED!!!
 
Haha...nina dogo langu ana Nadia ya 2000 yeye mpaka leo anaitaka new model.
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
what a word, umeniwahi tu mkuu, gari ya miaka 15 au 10 nyuma itakuwaje new model, ni ushamba wa kiwango cha jiwe kuu.
 
New model means New modifications of the existence!
mbona iko wazi inaeleweka.
mtoa mada unachanganya kati ya new model Vs New Brand !
NOTE;new model can also be new brand
CASE CLOSED!!!
Sijui nikuite hujui kitu!!?

You seem not to know the difference between MODEL and BRAND!
 
Huwezi kuita gari ya 2004 new model, tunawakosea wanaotengeneza hayo magari. Its just a Toyota RAV4 2004 model. Tupo kwenye dunia ya kijiji sasa hivi, kuita gari ya 2000 " a new model car" ni kuuukosea ulimwengu wa teknolojia heshima.
 
Sawa mkuu. Whatever makes you happy.
 
Hata kama ina miaka 20 provided hakuna model nyingine mpya zaidi ya hiyo bado itaendelea kuitwa new model
Toa mfano ni gari gani unayoifahamu imepita miaka 20 na hakuna model yake ingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ