a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,977
- 2,216
Waefeso 4:22-24
22 Vueni maisha yenu ya zamani muweke kando hali yenu ya asili ambayo huharibiwa na tamaa potovu. 23 Nia zenu zifanywe upya 24 na mvae utu upya ulioumbwa kwa mfano wa Mungu katika haki na utakatifu.
Warumi 6:6
Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye ili ule mwili wa dhambi upate kuangamizwa, nasi tusiendelee kuwa tena watumwa wa dhambi
Wakolosai 3:9
Msiambiane uongo, kwani nyinyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote, mkavaa utu mpya.
2 Kor 5:17
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
Waefeso 2:1-6
Nyinyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa na dhambi zenu. Wakati ule mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa mnamtii mtawala wa pepo wenye nguvu wa anga, pepo ambao huwatawala sasa watu wasiomtii Mungu.
Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya,
uasherati,
uchafu,
ufisadi,
ibada ya sanamu,
(Kol 3:5 SUV
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu)
uchawi,
uadui,
ugomvi,
wivu,
hasira,
fitina,
faraka,
uzushi,
husuda,
ulevi,
ulafi,
na mambo yanayofanana na hayo,*
katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
1 Kor 6:9-11
Msidanganyike;
waasherati
hawataurithi ufalme wa Mungu, wala
waabudu sanamu,
wala
wazinzi, wala
wafiraji, wala
walawiti,
wala wevi, wala
watamanio, wala
walevi, wala
watukanaji, wala
wanyang’anyi. Na
baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii;
Methali 6:16-
Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake:
Macho ya kiburi,
ulimi mdanganyifu,
mikono inayoua wasio na hatia,
moyo unaopanga mipango miovu,
miguu iliyo mbioni kutenda maovu,
shahidi wa uongo
abubujikaye uongo, na
mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.
Ufu 21:8
Bali waoga, na
wasioamini, na
wachukizao, na
wauaji,
na wazinzi, na
wachawi, na hao
waabuduo sanamu, na
waongo wote,
sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
1 Pet 3:3-6
Kujipamba kwenu,
kusiwe kujipamba kwa nje, yaani,
kusuka nywele; na
kujitia dhahabu,
na kuvalia mavazi; bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
1 Wakorintho 11:6-8
6 Ikiwa mwanamke hatafunika kichwa chake, basi na azinyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukata nywele zake au kuzinyoa kichwani mwake. Hivyo anapaswa kufunika kichwa chake
Hesabu 5:18
kisha kuhani atamweka mwanamke mbele za BWANA, naye atazifungua nywele za kichwani mwa huyo mwanamke,
kisha atampa hiyo sadaka ya unga ya ukumbusho mikononi mwake, ambayo ni sadaka ya unga ya wivu, naye kuhani atakuwa na hayo maji ya uchungu yaletayo laana mkononi mwake...
Kum 22:5 SUV
Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume,
wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.
Law 19:17-18
Usimchukie ndugu yako moyoni mwako; ni lazima kumkemea jirani yako, wala usichukue dhambi kwa ajili yake. Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
Mathayo 7:1
“Usihukumu ili usije ukahukumiwa.
Ebr 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote,
na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao.
Wafilipi 2:3 SRUV
Msitende neno lolote kwa kushindana
wala kwa majivuno;
bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
MAHARI ILIPWE
Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha
mahari na zawadi nitakayoileta, hata iwe kubwa kiasi gani, nami nitawalipa chochote mtakachodai. Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.”
Kutoka 22:17
[17]Ikiwa baba yake huyo mwanamwali akataa kabisa kumpa, atalipa fedha kama
hesabu ya mahari ya mwanamwali ilivyo.
Hata kwa Yusufu pia tunaona alimposa mariamu
Luka 2:4 “Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye
amemposa,
naye ana mimba.