Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,770
- 10,665
Ni kweli Ugonjwa ni Siri ya mtu, lakini ukishakuwa public Figure kwa baadhi ya Sheria za nchi , diagnosis yako itawekwa hadharani. Hii yote ni kuondoa Conspiracy na Confusion kwenye jamii.
Kwa mfano Trump amekuwa diagnosed na Chronic Venous Insufficiency ( CVI) ugonjwa ambao sio hatari but progressive yake can lead to sudden death.
My Friend Joe , amekuwa diagnosed na stage 4 prostate cancer - yote yapo kwa public. Leo biden au Trump wakidondoka sidhan kama kutakuwa na conspiracy au speculation
Hapo TZ bado sheria na viongozi wapo kwenye Ujima. Kuna viongozi wengi sna wanatembea but they are sick na wana chronic disease but wanafanya siri na matokeo yake vifo vyao vinaletaga sana speculation ambazo sidhan hata kama zinaumuhimu. Hili eneo linapaswa kufanyiwa kazi kwenye Rasimu ya Katiba, hawa jamaa wanakula Public fund sana….. magonjwa yao pia should be public concern hasa kwa Rais , Makamu, Spika na Waziri Mkuu
Kwa mfano, Rais Ali Hassan Mwinyi alikuwa na Pulmonary Carcinome ambayo ni aina ya kansa ya mapafu for very long time na public was not aware na hili mpaka alipokufa, but that guy alikuwa ni RAIS wa nchi! Nini Tafsiri yake ?
Mwalimu alianza na Acute Lymphoblastic Leukemie( ALL ) aina ya Kansa ya damu inayoanzia kwenye Bone Marrow and public was not aware till death, tukazushiwa kuwa ametangulizwa….
Rais Mkapa alikuwa na Coronary Artery Disease aina ya Ugonjwa wa Mishipa ya Korona ya Moyo ambayo ukiziba kabisa unakupelekea heart attack…… ndo ile mtu anazima ghafla kwa muda tu , tukazushiwa kuna mwamba muhuni mmoja ivo na genge lake ndio mtoa roho
JPM alikuwa na Atrial Fibriatiion with slow Ventricular response yaani mapigo ya moyo yasiyorandana sambamba na umeme wa moyo( Cardiac Elecrical Condition System) iliyomlazimu kuwa na pacemaker for very long time in his Life, public was not officially informed ……. AF iliyosababisha hadi kifo cha JPM……matapeli wakajizolea umaarufu na kujiona wa mjini…. But JPM was sick and had carried that kwa maisha yake yote, usiri ukaleta conspiracy na speculation inayodumu
Job, according na video zake alisema aliumwa sana baada tu yakuapishwa kuwa speaker …. alikuwa na Diabetic Neuropathy kwa muda tu inayopelekea kuwa na complication na kudevelop Cardiac Autonomic Neuropathy inayoenda kuathiri nerves zinazo control heart and blood vessels- it has High risk of sudden death
( Job alishakiri kuwa aliumwa sana )
Mtani wangu Cleopa Msuya. Mimi personally nimemuhudumia pale ORCI kwa kipindi kirefu na mpaka naondoka alikuwa bado anapata matibabu pale hadi kifo chake……. Msuya ametumia milions of public fund kama viongozi wengine na kodi za wananchi kwenye matibabu hadi anakufa, kuna anaejua mzee alikuwa anaumwa nini ? It should not be a secret for as long as matibabu yake yapo Under public fund ! Kama angekuwa anatoa hizo hela MFUKONI….we do not have right to ask and it becomes PERSONAL
JK had Benign Prostatic Hyperplasia but aliiwahi and atleast the info was public na tulienda kumuona pale JHH, USA. He is fine today na public was Officially informed kuwa the president had Benign Prostatic Hyperplasia
Leo hii the public is not aware Mpango ana tatizo gani la kiafya ?
Samia anatatizo gani la Kiafya ?
Majaliwa anatatizo gani la kiafya ?
Tulia anatatizo gani la kiafya !
Membe na Lowasa had a certain degenerative disease ambayo haikuwa public , however kwa lowasa ilikuwa ni Chronic mpaka akawa anapata zile Trembling
Kuna kipindi Mpango aliumwa akapotea kabisa kwa public… but alienda kwenye matibabu using public fund na mpaka leo hakuna anaejua Mzee anasumbuliwa na nini ; Yes it is personal but ni kiongozi mkuu wa umma na matibabu yake yanatumia kodi za wananchi, then why not public be concerned ?
Hivyo hivyo kuna kipindi Samia hakuonekana for a while, baadae Madam akajitokeza ila tukaambiwa
Alienda matibabu, the president spends a lot of public fund kwenye kila pumzi yake, so why public not be concerned kwenye Afya yake ?
Miongoni mwao yoyote akidondoka ghafla… tutapata speculation nyingi na confusion ………..Kama ilivyo kwa Job, JPM, Mkapa etc…but hawa watu wanakuaga wanaumwa na wanafanya siri……Katiba mpya italazimu kuangalia hili eneo…..! Nchi isiendeshwe kihuni na kisela sela
Tambueni hivo huenda mkapunguza speculation na conspiracy , msione watu wanakimbilia hayo madaraka….. they are sick na wanafanya hivo kupata health benefit za bure as well
Dr MNM
Canada