Nitakwambia exacty why watu wanapendana vizuri mpaka wakioana, then wakioana wanapata matatizo na kuachana.
Kwa sababu ya ulichokiita "artificial love"
Ndoa ndicho hicho "artificial love"
Watu wanapopendana wanapendana wenyewe, bila constraints wala obligations, this is reaal love.
The moment unapoanza kuleta makasisi, ndugu, wakuu wa wilaya inakuwa show tena, wala si mapenzi, ndipo hapo "artificial love" inapoanzia, ndiyo maana watu wanashindwa kuishi katika ndoa, kwa sababu it is a show about appearances and not about love.
Ukiacha expectations za uongo za ndoa watu watapendana vizuri tu, wao wenyewe, bila pageantry ya ndoa na expectations za "artificial love".