TTCL turudi nyumbani kumenoga

TTCL turudi nyumbani kumenoga

Nlishavunjaga lain yao huu mwaka wa pil Sasa..nlijiunga na kifurushi nlichokiona, Cha 1500..wao wakaniunga kifurushi Cha 2500.. na wakakata hela yangu kweny t_pesa..nkawapigia cm walichonijibu..ilibid niwatukane na nkaibomoa na lain yao
 
Mkuu hii imenitokea kwenye halotel, nimenunua kifurushi cha 1000 na kwenye simu kikaingia kifurushi cha hiyo hela ila kwenye halopesa wakakata 3000. Wapuuzi sana!
 
Back
Top Bottom