Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 751
- 656
Shinyanga haisomi kabisa.Uko wapi? Kwangu hata 2G siku izi inasoma sio lazima 4G .
Kutaka TTCL iwe sawa na vodacom au Tigo ni sawa na kutaka TBC iwe sawa na AZAM Tv au ITV.....Hili shirika ni umiza kichwa sana yani katika biashara ya ushindani kama sasa wao hata hawaeleweki wanafanya nini kwa kweli.
Allow roaming mkuu utaipata, maana wanatumia minara ya tigoShinyanga haisomi kabisa.
Shinyanga haisomi kabisa.
Ni sawa na kutaka man utd iwe kama Liverpool π π πKutaka TTCL iwe sawa na vodacom au Tigo ni sawa na kutaka TBC iwe sawa na AZAM Tv au ITV.....
Mimi ni mzalendo, nimeitikia wito wa kurudi nyumbani kwa sababu kumenoga!!
Sasa cha kushangaza, TTCL inapatikana baadhi ya maeneo na maeneo mengine haipatikani kabisa, sijui nini shida.
Lakini pia, ili ifanye kazi, TTCL inahitaji iwe primary card, kwa maana ya kwamba, haifanyi kazi kama net inayosoma ni E, sasa sijui hii maana yake nini?
Mimi nawaombeni TTCL kwamba, hebu rekebisheni na fanyieni kazi mapungufu haya ili tuweze kwenda vizuri, na kampuni liwe la ushindani mzuri.
Asanteni
Wameanza kumbwela mapema hii!!!!!?Mimi ni mzalendo, nimeitikia wito wa kurudi nyumbani kwa sababu kumenoga!!