Kama lile la ATCL😁Nasuburi kuona gawio lao la faida kwa serikali mwaka huu
Wala sio tangu gharama zipande, hilo ni toka mwanzoni. Nilishalisema hili mapema mno, hao TTCL ni jopo la wapumbavu wanaojiona wabunifu! Yani muda wa wakulala na mke we ndio unaingia youtube kuangalia content au insta maana hizo Mb za mchana zinalika fasta mno.Tangu hizi gahrama za vifurushi zipande nikawa naangalia ni mtandao gani ni nafuu ghafla nikaona ttcl kuna vifurushi vinardhisha kidogo mfano,
Gb 4 kwa Tsh. 1,000
Gb 10 kwa Tsh 2,500
[emoji23][emoji23][emoji23]Kituko kinakuja kwenye matumizi ya hizo gb sasa!
Yani katika hizo gb 4 wanakwambia mb 500 unatumia kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 6 usiku, alafu gb zinazobaki unatumia kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi,.
Hizo gb 10 wanakwambia gb 1.5 unatumia kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 6 usiku na gb zinazobaki unatumia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani hivi kwanini msiseme tu kwamba mnauza mb 500 kwa tsh 1,000 na gb 1.5 kwa tsh 2,500? Nani anashida na hiyo mi gb yenu ya usiku muda wa kulala?
Kiufupi TTCL hamna tofauti yeyote na hao wanyonyaji wengine.
View: 158, Reply: 8Wala sio tangu gharama zipande, hilo ni toka mwanzoni. Nilishalisema hili mapema mno, hao TTCL ni jopo la wapumbavu wanaojiona wabunifu! Yani muda wa wakulala na mke we ndio unaingia youtube kuangalia content au insta maana hizo Mb za mchana zinalika fasta mno.
Hapo ndipo mnaitwa mrudi nyumbani kumenoga eti! Yani mie baada ya kusikia huo utumbo wa kupangiana muda wa matumizi ya kifurushi na wazo la kusajili line yao liliyeyuka mara moja
Mpaka siku mwendazake atakaporudiNasuburi kuona gawio lao la faida kwa serikali mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kauli mbiu mpya ni MTEJA KWETU NI FALA TU[emoji23]