danilo silva
Member
- Oct 14, 2010
- 53
- 10
Wakuu msaada kwa anaefahamu TTCL mobile (CDMA) internet settings.
Nina router inayotumia CDMA sim card ambayo haikutoka TTCL kwa hiyo haina settings.
Kama una modem ya USB unaweza kuzipata kirahisi zaidi.
Nahitaji hizo settings ili router iweze kufanya kazi
Msaada jinsi ya kuconnect ttcl kwa kutumia usb modem ya kawaidaWakuu msaada kwa anaefahamu TTCL mobile (CDMA) internet settings.
Nina router inayotumia CDMA sim card ambayo haikutoka TTCL kwa hiyo haina settings.
Kama una modem ya USB unaweza kuzipata kirahisi zaidi.
Nahitaji hizo settings ili router iweze kufanya kazi
modem ya gsm? line hizi mpya?Msaada jinsi ya kuconnect ttcl kwa kutumia usb modem ya kawaida
Line hizi mpya@chief-mkwawamodem ya gsm? line hizi mpya?
line mpya ni kama mitandao mengine tu tengeneza setting then name eka chochote na apn iwe internet. kutengeneza hio nenda setting/tool halafu profile management halafu new.Line hizi mpya@chief-mkwawa
Nimefanya hivyo ila imekataaline mpya ni kama mitandao mengine tu tengeneza setting then name eka chochote na apn iwe internet. kutengeneza hio nenda setting/tool halafu profile management halafu new.
kama tayari una dashboard ya tigo/voda/airtel/halotel itafanya kazi pia na ttcl tumia setting za hio mitandao