James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,599
- 2,686
Bufee kumbe bado lipo, line sijui nimeiweka wapiMini kilichonibakiza huu mtandao wa kihenga ni BUFEE tu
Si lilifanyiwa reformHuduma za mtandao huu ni za kijima Sana..Ni Shirika lenye Mambo ya kizee sana.
Bei kinomaBufee kumbe bado lipo, line sijui nimeiweka wapi
Uchumi wa katiJamaa bando zao bei ghali balaa