TTCL hamko makini, Simiyu hamna coverage

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
3,396
Reaction score
4,447
TTCL nimeshangaa nimefika mkoani Simiyu hamna coverage, hivi kweli mpo makini na biashara au kwa vile shirika ni la umma ndo hamjali huo mkongo mlo chimbia nchi kwa coverage hii ni aibu.

Ukiwa mkoa kama Mwanza mjini kati poa ukitoka tu mawaa haiwezekani mkoa mkubwa kama Simiyu wenye watu wengi hakuna connection, mnaendeshaje shirika kizembe yani halotel wanawazidi mpo mpo mnaendesha kampuni kizee mno. Hii si miaka ile sidhani hata kama huwa mna target katika utendaji kazi wenu.
 
Wewe umesahau ule ugonjwa wa watumishi wa mashirika ya umma![/B
 
Yale yale Yanga na Simba,afadhali wameshtukia kuendesha kikampuni.
 

Huko hawahitaji kurudi nyumbani kumenoga.
 
Ni kweli kwa TTCL maeneo mengi hawana coverage sababu hata ukiangalia target yao kubwa ilikuwa ni mjini zaidi.Nilishawahi kukutana na mmoja wa staff wa TTCL nikamshauri haya
1. Waboreshe coverage yao hasa maeneo mbali ya mji na majiji
2.Wawezeshe laini zao kuweza kutumika hata katika simu za kawaida GSM mode. Kwa sababu kwa sasa laini zao kama huna smartphone haisomi.
Ninaamini watafanyia kazi
 

Sio tu Smart Phone , bali smartphone yenye 4G, they need to be Serious kama wanataka watu wengi wajoin.
 
Sio tu Smart Phone , bali smartphone yenye 4G, they need to be Serious kama wanataka watu wengi wajoin.
Hawa jamaa hawako strictly kabsaa uzee mwingi hakuna kitu anguko lipo uwani
 
Ni upuuzi mtupu nikiwa mjini uwa naenjoy nikirudi home kama km mbili toka mjini mtandao aushiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…