Huwa wanapiga simu pengine walisahau tu, wasamehe bure.Mimi kuna siku nilipiga wakapokea nakawaeleza tatizo la router ya internet ambayo nilikuwa nalipa na huduma sipati wakaniambia watanipigia. Nikasubiri hawakunipigia nikapiga kama mara saba hawakupokea. Nikaacha na sasa hivi nimeendela kutumia makampuni mengine kwenye mtandao. Kwakweli wanauudhi. Halafu wanasema eti nyumbani kumenoga.