The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Ipo mkuu, ila the right word to say ni kuwa iko ICU maana they way wanavyo handle wateja ni as if wanatoa huduma bure wakati tunalipiahivi ttcl bado ipo jamani duh ama kweli bongo zaidi ya uijuavyo. hii kampuni wanasiasa wanaiua na kuifilisi
hayo majibu kwa ttcl ni ya kawaida, vimeo vimejaa, kazi za kupeana, kuna watu walikuwa wachovu class lakini walipata kazi bila shida ttcl.jamani nilidhani ni sisi wenyewe tunao kwazika na ttcl!! mimi kero yangu kubwa ni kwenye internet!! these people bwana their not serious at all, unaweza ukwamwambia internet iko down haifunguki anakwambia zima modem na uwashe tena wkt imekaa off tangu jumamosi, jumapili! lkn hakuelewi!!!!!!!
Newmzalendo acha hata tu cha kushangaza zaidi ukiwapigia simu kuwaeleza kuwa una tatizo kitu cha kwanza wanakuuliza umeishalipa bili yako bila ya wao kusubiri na kukusikiliza tatizo gani linalokukabili weweTTCL ni shirika la UMMA.
so huduma za ttcl ni sawa na huduma unayopata Polisi,Mahakamani,Tanesco,TRA,Bandari,Dawasco. hivyo basi kuwa mpole ,shusha expectations zako,mimi ni mteja wa TTCL mwanzo nilikuwa na presha nao,sasa sina kabisaaaaa,unachotakiwa kufanya ni kujua namba za kituo chako cha karibu,jua jina la watu wawili or wa3 hiyo inatosha.
kamwe usipige 100 number ya customer care,kwani utakutana na madudu,wewe tafuta namba ya center yako e.g kama upo sinza,k/nyama,mwenge nenda pale sayansi-njia ya Rose garden ,kama uko osterbay,kinondoni nenda kituo cha osterbay.
usisahau
Viongozi wa kisiasa wana HISA na watoto wao ktk makampuni ya simu,e.g VodaCom,Airtel etc.hvyo kadri TTCL wanavyokuwa hoi ndio shares zao zinapanda na mishahara ya watoto wao inaboreshwa.
Una tatizo gani?Bongo bahat mbaya au?? Mbn sielw