Tshirt printing

Tshirt printing

Jackson jonh

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Tunahitaji oda za tshirt printing kuanzia tshirt 50,mtambo ni wa kisasa na unatoa quality ya maana,mi nipo dar,kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0652993219.
 
weka sample mzee kwa picha au huna hata kipeperushi cha pdf tupitie tuone baadhi ya kazi zako mkuu?
 
Usijali nitafanya hivyo,ila ingekuwa ni bora zaidi tungewasiliana,kama we upo ndani ya dar ningekuafuta nikuonyeshe sample.
 
Tunahitaji oda za tshirt printing kuanzia tshirt 50,mtambo ni wa kisasa na unatoa quality ya maana,mi nipo dar,kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0652993219.

Mnatumia machine gani, na nani supplier wenu wa tshirts na rangi?
 
Tunahitaji oda za tshirt printing kuanzia tshirt 50,mtambo ni wa kisasa na unatoa quality ya maana,mi nipo dar,kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0652993219.

Kaka mimi niko Mtakanini, wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma, Unaweza kuniletea sample kadhaa ya kazi zenu? Nadhani wewew unafanya graphic designing, staki kuamini kuwa kwenye computer hiyo unayotumia sasa kupost JF hauna hata mifano kadhaa ya ubunifu wenu!!!...Mmi naweza kuwa mteja wako; tafadhali nifahamishe bei za kuprint t-shirts, kama unaona haifai kuweka hapa tafadhali ni-pm, au tuma kwa amoebazone@gmail.com.
Ahsante!
 
Kaka si vizuri ku display e mail yako au namba ya simu. Omba watu waku pm. Enjoy JF
 
Tunahitaji oda za tshirt printing kuanzia tshirt 50,mtambo ni wa kisasa na unatoa quality ya maana,mi nipo dar,kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0652993219.

hyo idad ya 50 tshts ni bei gani?? Mfano nataka ziwe na jina langu tu DEEJAY NASMILE
 
Tshirt ikiwa ni kwa upande wetu bei ni 8500 jumla na kuprint,hakuna logo isioshindikana mkuu
 
Kaka mimi niko Mtakanini, wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma, Unaweza kuniletea sample kadhaa ya kazi zenu? Nadhani wewew unafanya graphic designing, staki kuamini kuwa kwenye computer hiyo unayotumia sasa kupost JF hauna hata mifano kadhaa ya ubunifu wenu!!!...Mmi naweza kuwa mteja wako; tafadhali nifahamishe bei za kuprint t-shirts, kama unaona haifai kuweka hapa tafadhali ni-pm, au tuma kwa amoebazone@gmail.com.
Ahsante!

Nitaku email kaka wala usijali,hakuna kinachoshindikana
 
so kumbe hamfanyi embroidery??? nitumie sample ya kazi yenu kwenye imzzotz@yahoo.com tshirt designing ndo kazi yangu tukielewana ww utakua printer wangu. pia nifahamishe kama embroidery mnafanya.
 
Mkuu embroidery tunafanya pia, nakutumia email leo hiihii wala usijali kaka,tuko pamojaa
 
ni utakayotaka wewe tu mkuu.

Mkuu, kwanza sijapata mail yako! Halau unaposema elf8500 pamoja na tshirt! daha naona ni cheap sana, maana mimi naposema tshirt siyo tshirt za watoto wa shule! Bei ya kuprint kama tshirt ni ya kwangu ni sh ngapi? Na je bei flat rate kwa kila design? Asante mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom