Bei gani hiyo t shirt printing machine
mkuu inatumia wino ?jaribu kuweka kazi ambayo ishawahimkufanya kama iponimeitaja hapo juu kama umesoma vizuri... laki 8 na nusu
mkuu inatumia wino ?jaribu kuweka kazi ambayo ishawahimkufanya kama ipo
500000 ipo cash 0653343095
Mkuu mia 6 na 20 vp unauza vp kuusu vifaa vyake vyakuprintia kofia vikombe inaoption yakuviongeza
Mkuu mia 6 na 20 vp unauza vp kuusu vifaa vyake vyakuprintia kofia vikombe inaoption yakuviongeza
Naunganana maneno yako, umeandika ukweli kabisa!!hii ni heavy duty tshirt printer... haina option ya kuongeza... kwa uzoefu wangu heavy duty zote hazigasiwi na kazi isiyoihusu.. hata za vikombe ukitaka heavy duty inakuwa ni kikombe peke yake..
zile zilizounganishwa ni for home use sio commercial/ industrial use.. ila watu tunalazimishs ndio maana hazidumu kabisa... ndio maana kwa kazi nzito.. heavy duty ndio wanatumia... zile haziwezi print hata tshirts 100 mfululizo...
use google na youtube utaelewa vizuri printing ilivyo..
Nisaidie upana wake na pia transfer paper vp unaoder nazo nje zenye ubora au unachukua bongo? Sikuoni whtsp mkuubei hailipi kaka mimi imenigharimu milion 1 na elfu 20 na risiti yake ya tra ninayo.
so nauzia shids tu kwa bei pungufu
Naunganana maneno yako, umeandika ukweli kabisa!!
Mi naomba niulize!
Je kama nna hiyo mashine, na nika design kila kitu kwenye PC, nikitaka kuprint kwenye tshirt nitahitaji nini na nini??
Nisaidie upana wake na pia transfer paper vp unaoder nazo nje zenye ubora au unachukua bongo? Sikuoni whtsp mkuu
OK,nitakutafuta
Usishushe bei mkuu coz mashine ni mpya kabisa.
>Acheni zuluma bwana....muokoeni apate hela, msimshushe kwa kumlalia.