Hawa vijana wakiachwa waelendelee kufanya hivi ni rahisi kwa kushawishiwa kuichoma nchi yao maana hawana cha kupoteza. Ziko nchi zinaitamani ardhi yetu kwaajili ya ajira ya vijana wao. Ardhi ndio kete ya ushindi kwa vijana wetu vinginevyo hatukuwa na sababu ya maana ya kuitaifisha ardhi na kuiweka chini ya serikali.Ni uongo tu mkuu Takwimu zote za Nchi yetu ni Uongo.
Ni uongo tu mkuu Takwimu zote za Nchi yetu ni Uongo.
Kaka haiwezekani viongozi wetu wazidiwe uwezo kwa kiasi kikubwa na akina Nyerere katika mambo mengi.Nyingi watazipeleka tumboni. 🫄
Chache ndiyo zitawasaidia hao vijana.
Awamu hii watu wachache pekee ndiyo wanamiliki ukwasi. Huku mtaani pesa tunazotumia sisi watu wa kawaida, nyingi zimechakaa kutokana na mzunguko wake kuwa mkubwa.Watu wanajichotea fedha tu
Nchi imekuwa ya WAHUNI wachache na wale wanaojipendekezaAwamu hii watu wachache pekee ndiyo wanamiliki ukwasi. Huku mtaani pesa tunazotumia sisi waru wa kawaida, nyingi zimechakaa kutokana na mzunguko wake kuwa mkubwa.
Kwanini tz kilimo kinaonekana kama bahatiUna uhakika waliopo kwenye kilimo wana maisha kuliko walioko barabarani?
Kilimo cha Tanzania ni another scam project.
pesa zinazopita mikoni mwa watu zinapunguzwa na matumizi ya digital payments (M-PESA, YAS, AZAM PESA, KADI ZA BENKI, lipa namba, NK), watu wanabakia mikononi za kulipia tu daladala, vifurushi vya mihogo mimichi na karanga na vitu vichache kwa mangi. Nimejenga nyumba ikamalizzika kwa kulipa kwa mitandao ya simu kwenye maduka ya hardware na mafundi.Awamu hii watu wachache pekee ndiyo wanamiliki ukwasi. Huku mtaani pesa tunazotumia sisi watu wa kawaida, nyingi zimechakaa kutokana na mzunguko wake kuwa mkubwa.
Kazi ya serikali ni kuwafanya walioko kwenye kilimo wawe na maisha kuliko walioko barabarani. Trillions and trillions za pesa zinatakiwa zikwekezwe kwa vijana vilioko kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi kabla ya ardhi hii haijachukuliwa na vijana wa Ruto, Kagame na wengine kwa mwamvuli wa mtangamano wa nchi za Afrika mashariki.Una uhakika waliopo kwenye kilimo wana maisha kuliko walioko barabarani?
Kilimo cha Tanzania ni another scam project.
Wanajiandalia mabomu yanayosubiri muda ufike yawalipukie. Wanadhani kuwaacha vijana wawe barabarani ni kuwasaidia. Siku hizo barabara zikijaa n vijana wakakosa nafasi watagundua makosa yao na kutafuta nani kawashawishi.Kwanini tz kilimo kinaonekana kama bahati
Nasibu,wakati huku wenzetu mkulima ana thaminiwa,yaani ukisikia mtu anaitwa mkulima mpaka jamii inamuogopa
Serikali ingekuwa serious haya yote yangewezekana
Ila naona serikali inawataka vijana wawe ma content creator tu+wakata mauno
Ova
Wanataka vijana wengi wawe bodaboda na content creatorWanajiandalia mabomu yanayosubiri muda ufike yawalipukie. Wanadhani kuwaacha vijana wawe barabarani ni kuwasaidia. Siku hizo barabara zikijaa n vijana wakakosa nafasi watagundua makosa yao na kutafuta nani kawashawishi.
Ningekuwa mimi hizo bil 200 zote ningezipeleka kwenye ardhi ya kilimo vijijini. Vijana wa vijijini wawe na fursa pia za uhakika kuliko wa mijini ili iwe sumaku ya kuwatoa vijana wanaozurura mijini. Maisha ya mijini duniani kote hata nchi zilizoendelea yamefanywa yawe magumu sana kwa vijana wasiokuwa na kazi, lakini hapa kwetu ni kinyume chake.Una uhakika waliopo kwenye kilimo wana maisha kuliko walioko barabarani?
Kilimo cha Tanzania ni another scam project.
Hapa wanakosea sana. Lazima taifa lifanye mapinduzi kwenye jambo moja kwanza kabla ya kwingine. Sekta ambayo inabeba vijana wengi ni kilimo, na bahati nzuri ardhi kubwa ya kilimo tunayo na masoko ya ndani na nje yapo. Hata hela ya goli la mama ilipaswa kuelekezwa kwa kijana yupi amezalisha mazao yenye ubora wa masoko.Wanataka vijana wengi wawe bodaboda na content creator
Ova
Mfumo hautaki kuwakwama vijana kwa asilimia angalau 60 wawe na kipato,mazingira mazuri ya kuishi nkHapa wanakosea sana. Lazima taifa lifanye mapinduzi kwenye jambo moja kwanza kabla ya kwingine. Sekta ambayo inabeba vijana wengi ni kilimo, na bahati nzuri ardhi kubwa ya kilimo tunayo na masoko ya ndani na nje yapo. Hata hela ya goli la mama ilipaswa kuelekezwa kwa kijana yupi amezalisha mazao yenye ubora wa masoko.
Mkakati lazima uwe Kilimo-maji-Umeme vijijini - barabara- maghala- masoko badala ya kutafuta wapi tutawasogeza vijana mijini wakati vijana wanahamia mijini kila siku kutoka mashambani.