Truth exposed

Dah, nimependa sana uwezo wa kuwaxa wa hawa watu. Hii ya Japan inanipa jibu sahihi kwanini wajapani ni watu wastaarabu na wanaojaliwa kuishi kiasi hiki, mzee wa miaka 75 bado anaenda kazini kama kawa tena kwa miguu. Wamarekani ni wauaji sana hapa duniani na haipo siku ntakaa kuwaona watu wa maana.

Mother's day ni kituko, kizazi hiki ni kizazi cha usaliti na kisicho jari kabisa. Upendo wao ni ule wa kufikirika zaidi kuliko kujitoa. Ni wabinafsi wakubwa na ni mizigo kwa wazazi wao
 
Nimeipenda hiyo ya nchi yenye madeni kutoa misaada. Aliusikia uongo wa magu.
 
Kimsingi wajapan wako sawa coz ndo inatakiwa iwe hivyo chekechea Mtoto anaenda kuimba,kucheza ,kuhesab 1-10 Na Kula au kunywa uji.shule zetu hizo watoto wanakomazwa Tu ubungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…