Trust your wife at your own risk

Mkuu kuna msaikolojia alikuwa kwenye podcast ya Men Men yeye anadai kuwa 85% ya wazee wanalea watoto sio wao
 
50% ya DNA anashare na hao madogo hivyo haijamqualify kuwa baba labda kaka
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
It's the same thing as saying 'trust your husband at your own risk'.
 
Why marry her?There is no healthy relationship without trust as in you trust her with your heart,your body,your whole life bila hivyo mnaviziana tu hakuna mahusiano
 
Kazaa na babamkwe na kuwafanya hao watoto automatic ni wadogo zake na mke kugeuka mama yake wa kambo!

Iv najiuliza, huyo mwanamke angelimezea ingekuwaje, au wenzetu ni lazima kila 'nzao' kupima Dna?
 
Niwekee kwenye jagi nibebe kama maziwa... Maaana Dini zenyewe zimeletwa na waarabu tu.
Ni kama viatu na soxy ni bidhaa zinazoundwa na viwanda tofauti, lakini hujikuta vinalazimishwa kutegemeana!

Kama ilivyo sasa, kwa kiti moto na ndizi, ni lazima tu yaani! 😁😁
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…