Trust your wife at your own risk

Mi namuamini 100% usituunge wote
 
Au sio!? Mmekula kipochi kimoja ambacho mzee amekojoza!? 😃
Bora lipi
Ulee watoto wasio na vinasaba na wewe? au watoto ambao ni wadogo zako?

Hapo ubaya ni kushare na baba ila huwezi kusema wamekula jasho la mtu Baki wakati ni kaka yao
 
Pole kwake.
Ningependa nifahamishwe hapa, ndiyo kakuta watoto sio wa kwake kwa mujibu wa DNA.
Nijuavyo; Mama anachangia 23 chromosomes na baba 23 Chromosomes , baada ya watoto kuonekana hawana vinasaba vinavyoshabihiana na baba (99.9% Accuracy), Imekuwaje watoto waonekane kuwa ni wadogo zake?

Naombeni elimu.
 
Bora lipi
Ulee watoto wasio na vinasaba na wewe? au watoto ambao ni wadogo zako?

Hapo ubaya ni kushare na baba ila huwezi kusema wamekula jasho la mtu Baki wakati ni kaka yao
Daah we mkuu we!
 
Nilikuwa na angalia podcast moja US,kuna mwanamke mmoja akasema kwamba wanawake wengi wana walaumu wanaume ni malaya ila wapo mbele kupinga sheria ya Partenity test, ambayo inataka mtoto apimwe kwanza DNA kabla ya baba kusaini cheti cha kuzaliwa.Sasa unajiuliza kama wao ni waaminifu kwa nini wanakataa partenity test?

Huku kwetu kuna kauli ya kipuuzi kabisa,eti kitanda hakizai haramu ambayo vijana wa siku hizi hawataki kuisikia hiyo kauli. Siku serikali ikilegeza masharti ya vipimo vya DNA,ndoa nyingi zitavunjika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…