wanawake wanapenda kudanganywa ngoja nikupe mfano,nilikuwa na demu wangu zikapita siku 2 sikumpigia simu ya tatu akanipigia na kuniuliza mbona nimemsusa nikamwambia nilikuwa nimesafiri mara moja ndo nimerudi sasa hivi nafika tu ndo nakutanan na call yako eti akaamini.